Hao BBC ndio wanao pima hao wagonjwa hapa nchini mkuu au na wao ni moja kati ya wataalam wa afya hapa nchini kwetu hadi wawe na hizo data sahihi?sikiliza BBC swahili ya jana usiku wamemaliza kila kitu
Kea hiyo walisubiri mpaka BBC watangaze jana kwamba takwimu hazitolewi ndio watoke mafichoni? This is non sense.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya jumla ya vifo kufikia 16 Tanzania, wagonjwa waliopona wamefikia 167. “uzushi wa kwamba kila kifo ni cha corona sio sahihi kuna magonjwa mengine yanayoua”
Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...
''Kuanzia Aprili 23 - Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa Corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya Corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''
Nami nimeuliza tuu mnyonge mwenzangu?Hao hawajawasema mi nimenukuu tu mzee usinifunge kengele mwananchi mnyonge mimi
Tuliopo hapa inaelekea laki tano, Tupia majina 20 Tu yaliyowazi Kwa Maana ya wahisika wenyewe wametangulia Mbele za haki Kwa ugonjwa wa Corona, kama hakuna nyamaza, Maana yake unataka wafe wengine Tu, mnaoandika kudai waongezeke wafu na wagonjwa nyie mnaahadi nyingine siyo? Nyinyi hamguswi na Corona siyo? Ona aibu basi mkuuIdadi ya waliokufa hakuna.
Bado hatujaambiwa waliopona (kama mkuu alivyosisitiza)
Bado hatuambiwi jumla ya watu waliofanyiwa vipimo.
Na je vipimo ni kwa mtu mwenye dalili peke yake?
Hatua nzur kwa kuujuza umma taarifa hizi
Hebu na wewe tuambie ni nini kimewafanya wakae kimya siku zote hizo???Hao BBC ndio wanao pima hao wagonjwa hapa nchini mkuu au na wao ni moja kati ya wataalam wa afya hapa nchini kwetu hadi wawe na hizo data sahihi?
Unaonaje wewe ukaleta idadi yako ya visa elfu 10?Mimi siwamini hawa jamaa kabisa, hata waseme vipi wao wabaki na idadi yao,
Leta takwimu zako sahihi na we we.hawa waongo, wako zaidi ya hao
Nimeangalia jana. Hawakutaja idadi yoyote.. ila walisema hali ni mbaya.angalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezea
pamoja na utetezi, nieshapoteza uaminifu kwa serikali na sitoweza kuiamini tena katika hili jangaHao BBC ndio wanao pima hao wagonjwa hapa nchini mkuu au na wao ni moja kati ya wataalam wa afya hapa nchini kwetu hadi wawe na hizo data sahihi?
Nini kimekusuma kuja na hitimisho hilo?Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...
Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...
480*1.4 = 672.
Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Mnyonge kwa mnyonge tutaoneana tu.. ndg mnyonge..Nami nimeuliza tuu mnyonge mwenzangu?
basi yule jamaa mhanga aliyekuwa anahojiwa na sisi mtaani kwetu yametokea kama hayo kwa watu wawili na bado kimyaNimeangalia jana. Hawakutaja idadi yoyote.. ila walisema hali ni mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapa ofisini kwangu kuna mteja kaja akagoma kunawa mikono nakusema korona imeshaisha TanzaniaMimi nilidhani ni idadi ya vifo kumbe maambukizi jamani viongozi wangu huu ungonjwa kama taarifa zinatolewa kiufadhaa hali tuliyonayo isingekuwa hivi tangu tarehe 22 mpaka Leo vijana na watu wazima na watoto hawachuwi taathari hata kidogo watu hawanawi tena mikono hawavai barakoa ndoo moja ya Maji kutwa mzima hapa Dukani kwangu haiishi
Sio wamepuyanga.. hiyo imepangiliwa kwa kusudi kabisa..Humu kuna watu wangapi hawasikii ladha wala harufu na wameumwa taabani?
Wamepuyanga kwenye data.
Sent using Jamii Forums mobile app
labda tusaidie hiyo idadi walisema ni wangapi?angalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezea
[emoji3][emoji3][emoji3]Marekani mwenyewe kabanwa mbupu saa hii unafikiri ana shida na kujua hali yako wewe mweusi wa hapo kwa mtogole?Ukiona hivo kuna mkono wa Marekani kwenye kutangaza idadi
Humu kuna watu wangapi hawasikii ladha wala harufu na wameumwa taabani?
Wamepuyanga kwenye data.
Sent using Jamii Forums mobile app