Ok sawa mkuu waamini tu hao BBC mana inaonekana wana taarifa zote za hapa nchini kwetu tena wanakupenda kuliko kawaida ndio mana wanakupa takwimu za kila siku kuhusu ungonjwa, hongera kwa upendo wa dhati BBC wanao kuonesha mkuu.pamoja na utetezi, nieshapoteza uaminifu kwa serikali na sitoweza kuiamini tena katika hili janga
Una kisukari?
Yule ni mtu mmoja tu. Hawez jua idadi ua wengine.basi yule jamaa mhanga aliyekuwa anahojiwa na sisi mtaani kwetu yametokea kama hayo kwa watu wawili na bado kimya
Usikonde mkuu!Ukifa wewe utakuwa wa 11
Hii ni nchi huru inaongozwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiongozwi na chombo cha Habari cha BBc Wala Taifa lingine lolote, lile linalowezekana kufanyika litafanyika sio Kwa shinikizo la yeyote, na tarifa hizi utazipata Kwa utaratibu uliowekwa na si vinginevyosikiliza BBC swahili ya jana usiku wamemaliza kila kitu
Bado akili zako ni za kijingaKutokana na babu yetu Zinjanthropus kuwa wa asili ya Afrika mashariki basi kuna miongoni mwetu bado hatuja evolve vya kutosha
Huwezi wewe leo umepewa dhamana ya uraisi halafu janga kama hili unachukua likizo na wala huifupishi
View attachment 1434388
Asante mzee Zinjanthropus tutaendelea kukukumbuka
Vifo vya CORONA bado ni kumi lakini vifo vya MATATIZO YA UPUMUAJI ni vingi mno. Hivyo msiwe na wasiwasi endeleeni kujifusha na majani ya muarubaini. We are on ze laiti tlaki.Vifo bado ni 10?
Jibu hoja
akili hizi 😀 😀Hii ni nchi huru inaongozwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiongozwi na chombo cha Habari cha BBc Wala Taifa lingine lolote, lile linalowezekana kufanyika litafanyika sio Kwa shinikizo la yeyote, na tarifa hizi utazipata Kwa utaratibu uliowekwa na si vinginevyo
Wewe mwenye kujua ukweli TUAMBIE siyo kuleta ubishi wa Bulicheka humu.hawa waongo, wako zaidi ya hao
umeelewa lakini?Yule ni mtu mmoja tu. Hawez jua idadi ua wengine.
Maybe angekuwa ana hizo information labda. Lakin kwa kesi yake ni vigumu kujua maana alijiongelea yeye kama yeye na msiba uliompata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa bhana....196 baada ya kupima wangapi? Hahaha hawa jamaa wanaona ngoja wapooze watu kidogo. Haya endeleeni kuomba wazee wa kuombaonba na kujifukiza ndo kwanza limeanza
Kutaka taarifa ziwekwe wazi sio kutaka vifo viendelee.Tuliopo hapa inaelekea laki tano, Tupia majina 20 Tu yaliyowazi Kwa Maana ya wahisika wenyewe wametangulia Mbele za haki Kwa ugonjwa wa Corona, kama hakuna nyamaza, Maana yake unataka wafe wengine Tu, mnaoandika kudai waongezeke wafu na wagonjwa nyie mnaahadi nyingine siyo? Nyinyi hamguswi na Corona siyo? Ona aibu basi mkuu