COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

pamoja na utetezi, nieshapoteza uaminifu kwa serikali na sitoweza kuiamini tena katika hili janga
Ok sawa mkuu waamini tu hao BBC mana inaonekana wana taarifa zote za hapa nchini kwetu tena wanakupenda kuliko kawaida ndio mana wanakupa takwimu za kila siku kuhusu ungonjwa, hongera kwa upendo wa dhati BBC wanao kuonesha mkuu.
 
nasoma meseji zote zinazoandikwa humu na kwenye mada zingine critical /// nafamya utafiti wa uwezo wa watanzania kupambanua mambo mbalimbali
 
basi yule jamaa mhanga aliyekuwa anahojiwa na sisi mtaani kwetu yametokea kama hayo kwa watu wawili na bado kimya
Yule ni mtu mmoja tu. Hawez jua idadi ua wengine.
Maybe angekuwa ana hizo information labda. Lakin kwa kesi yake ni vigumu kujua maana alijiongelea yeye kama yeye na msiba uliompata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikiliza BBC swahili ya jana usiku wamemaliza kila kitu
Hii ni nchi huru inaongozwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiongozwi na chombo cha Habari cha BBc Wala Taifa lingine lolote, lile linalowezekana kufanyika litafanyika sio Kwa shinikizo la yeyote, na tarifa hizi utazipata Kwa utaratibu uliowekwa na si vinginevyo
 
Kutokana na babu yetu Zinjanthropus kuwa wa asili ya Afrika mashariki basi kuna miongoni mwetu bado hatuja evolve vya kutosha

Huwezi wewe leo umepewa dhamana ya uraisi halafu janga kama hili unachukua likizo na wala huifupishi

View attachment 1434388
Asante mzee Zinjanthropus tutaendelea kukukumbuka
Bado akili zako ni za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vifo bado ni 10?
Vifo vya CORONA bado ni kumi lakini vifo vya MATATIZO YA UPUMUAJI ni vingi mno. Hivyo msiwe na wasiwasi endeleeni kujifusha na majani ya muarubaini. We are on ze laiti tlaki.
 
Hii ni nchi huru inaongozwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiongozwi na chombo cha Habari cha BBc Wala Taifa lingine lolote, lile linalowezekana kufanyika litafanyika sio Kwa shinikizo la yeyote, na tarifa hizi utazipata Kwa utaratibu uliowekwa na si vinginevyo
akili hizi 😀 😀
 
Ubishi ni mzigo,tume washauri chukueni hatu wapi , kama hatuchukui hatua Dar yote itakuwa na wagonjwa wa corona sijui hizo kodi mtakusanyia wapi, hakuna kitu kibaya duniani kujifanya unajua kuliko wengine, kubalini ushauri mchukue hatua.
 
"blazaaaaa mto umepasuwa kingo, twafaaa .............corona blazaaaaa." Washikaji mitaani wameshituka.
 
196 baada ya kupima wangapi? Hahaha hawa jamaa wanaona ngoja wapooze watu kidogo. Haya endeleeni kuomba wazee wa kuombaonba na kujifukiza ndo kwanza limeanza
Hawa jamaa bhana....
 
Tuliopo hapa inaelekea laki tano, Tupia majina 20 Tu yaliyowazi Kwa Maana ya wahisika wenyewe wametangulia Mbele za haki Kwa ugonjwa wa Corona, kama hakuna nyamaza, Maana yake unataka wafe wengine Tu, mnaoandika kudai waongezeke wafu na wagonjwa nyie mnaahadi nyingine siyo? Nyinyi hamguswi na Corona siyo? Ona aibu basi mkuu
Kutaka taarifa ziwekwe wazi sio kutaka vifo viendelee.
Tunataka tujue ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom