Serikali si ya uwaziTaarifa za Serikali yetu haziaminiki hata kidogo. Sijui kwa nini Rais wetu anapenda kuendesha mambo kwa hadaa.
Angekuwa anayaishi yale maneno yake, "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", tungefarijika sana. Lakini anachonena na anachotenda, ni vitu viwili visivyokutana. Big shame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine ana mafua au kachoka mwili maana alipigana sana tarifa za waziri mkuu ni sahihiKwani Waziri Ummi Mwalimu kaenda likizo?
Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...
Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...
480*1.4 = 672.
Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Hilo kila Mtanzania analijuahawa waongo, wako zaidi ya hao
Ok sawa mkuu waamini tu hao BBC mana inaonekana wana taarifa zote za hapa nchini kwetu tena wanakupenda kuliko kawaida ndio mana wanakupa takwimu za kila siku kuhusu ungoja, hongera kwa upendo wa dhati BBC wanao kuonesha mkuu.
Mkuu inawezekana kabisa mungu wake akawa tofauti na huyo unae mjua weweTaarifa za Serikali yetu haziaminiki hata kidogo. Sijui kwa nini Rais wetu anapenda kuendesha mambo kwa hadaa.
Angekuwa anayaishi yale maneno yake, "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", tungefarijika sana. Lakini anachonena na anachotenda, ni vitu viwili visivyokutana. Big shame.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Ummy ameamua kumwachia PM kwa sababu ya hofu ya bwana yule. PM naye akipigwa mkwara, basi itabidi bwana yule awe anatangaza (kinyume chake) mwenyewe.
My Dear friend, unachekesha saana, kufanya test hata hiyo UK with all the resource they , they can not do 100%Does anybody know how many tests Tanzania has done or even daily tests it is doing? How long is Tanzania taking before reporting confirmed confirmed cases? How people are being traced and tested or who are they target testing?
Tanzania is doing way better than Kenya, we lost track of what we are doing. Hopefully someone will assist me with this information.