COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Taarifa za Serikali yetu haziaminiki hata kidogo. Sijui kwa nini Rais wetu anapenda kuendesha mambo kwa hadaa.

Angekuwa anayaishi yale maneno yake, "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", tungefarijika sana. Lakini anachonena na anachotenda, ni vitu viwili visivyokutana. Big shame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali si ya uwazi
Akwambie ukweli avunje miiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema wakitangaza vifo tumuite Mbwa. Serikali imetangaza vifo 6.Tumuite nani?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Rahisi kumeza upupu kuliko kimeza hii, wamewezaje kuwahesabu watu walioamua kukaa majumbani wakijifukiza?
BAD OMEN.
 
Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...

Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...

480*1.4 = 672.

Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.

Wacha uongo we sema tu tuna wagonjwa 1000 ndio roho yako itatulia. Then wiki ijayo sema tuna wagonjwa 10,000 hapo utafarijika.
 
Ok sawa mkuu waamini tu hao BBC mana inaonekana wana taarifa zote za hapa nchini kwetu tena wanakupenda kuliko kawaida ndio mana wanakupa takwimu za kila siku kuhusu ungoja, hongera kwa upendo wa dhati BBC wanao kuonesha mkuu.

Kwani wewe unateseka?
 
Naona Ummy ameamua kumwachia PM kwa sababu ya hofu ya bwana yule. PM naye akipigwa mkwara, basi itabidi bwana yule awe anatangaza (kinyume chake) mwenyewe.
 
Taarifa za Serikali yetu haziaminiki hata kidogo. Sijui kwa nini Rais wetu anapenda kuendesha mambo kwa hadaa.

Angekuwa anayaishi yale maneno yake, "Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu", tungefarijika sana. Lakini anachonena na anachotenda, ni vitu viwili visivyokutana. Big shame.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inawezekana kabisa mungu wake akawa tofauti na huyo unae mjua wewe
 
Naona Ummy ameamua kumwachia PM kwa sababu ya hofu ya bwana yule. PM naye akipigwa mkwara, basi itabidi bwana yule awe anatangaza (kinyume chake) mwenyewe.

Wacha uongo wasemaji wa taarifa za huu ugonjwa ni wanne tu. Rais, Makamu wa rais, Waziri mkuu na Waziri wa Afya.
Waziri mkuu yupo kwenye list kama limekukera shauri yako.
 
Does anybody know how many tests Tanzania has done or even daily tests it is doing? How long is Tanzania taking before reporting confirmed confirmed cases? How people are being traced and tested or who are they target testing?
Tanzania is doing way better than Kenya, we lost track of what we are doing. Hopefully someone will assist me with this information.
My Dear friend, unachekesha saana, kufanya test hata hiyo UK with all the resource they , they can not do 100%
2. Kufanya test hakuzui mtu kuugua .
Mfano Leo wanifanyie Mimi wakiona all clear lakini kesho yake nikapata hiyo ,virus.

3 kuhusu Kenya au Jirani zetu kujilinganisha nao sio uungwana na hatupo kwenye mashindano hayo
 
CCM mbele kwa mbele , hatimaye Tanzania nambari wani afrika mashariki. ccm mbele kwa mbele. wacha waisome namba.
 
Back
Top Bottom