COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Kwani wewe unasubiri lockdown ya serikali? Yaani utakuwa mbumbumbu wa kufa. Serikali ilishatoa tahadhali siku nyingi sasa wewe ni juu yako kusuka au kunyoa.
 
Who's laughing now? The unshakable leader sio jiwe lakini ni yule tuliemuona poyoyo ila katika jambo la uhai wa raia wake aliacha wataalamu wafanye kazi zao na yeye kama kiongozi akafanya yanayo mhusu big up M7
 
Sasa hivi ni tubua waokoe wenzako --- yaani tupo kwenye kombolela -- fainali mwezi wa kumi nani kabaki nani kachapa lapa...dadeki.

Corona hebu tuache kwanza....!
 
Na waliopona wangapi hivyo wagonjwa wamebaki wangapi
 
haya kaka MATAGA, naona umechukua uharo wa BASHITE kuwajibu CHADEMA , endelea, ila siku maiti yako ikisusiwa hapo lumumba utakumbuka huu uzi, utakuwa ahera na mabikra zako sabini ukistarehe
 
Haka kagonjwa kanatisha sana aisee!

Sent using kidole gumba
 
Hivi wewe una akili timamu kweli? Jiangalie ulivyojaza ujinga kichwani!
Sasa wewe vipi? Anakuambia uchukue tahadhari tena una mshambulia? Sasa hapo nani mwenye akili timamu kati yako na yeye?
 
Ubishi lazima death rate itakuwa zaidi ya elfu kumi kama kama tutaenda na takwimu sahihi
 
Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...

Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...

480*1.4 = 672.

Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Hawa jamaa hawaaminiki katika hesabu ya wagonjwa watakuja kupata waaminike katika sanduku la kura?
 
haya kaka MATAGA, naona umechukua uharo wa BASHITE kuwajibu CHADEMA , endelea, ila siku maiti yako ikisusiwa hapo lumumba utakumbuka huu uzi, utakuwa ahera na mabikra zako sabini ukistarehe
Utakufa kwanza wewe kabla yake!
 
We Mbwa wametangaza vifo 6 zaidi japo sina imani na hiyo idadi....
Vifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa na kwa kila siku watu wanazikwa kila siku? Huna macho? Huna masikio? Wewe ni mbumbumbu wa kung'amua mambo?Bosheni/danganya macho unaziita ni vifo?
 
Kiburi kinaanzia kwa yule aliyewadanganya eti wafanye maombi na kazi tuuu! Double standard nayo imechangia. Leo lisemwe hili kesho msitishwe, keshokutwa maombi, mtondogoo mask lazima. Lipi tuchukue.
 
ohooo sawa.
Sababu hao ndo mawaziri wapya wa afya.
Wakiweka picha nyingine za makaburini usisite kutuletea huku.
mlikuwa mnalalamika serikali inaficha idadi ya wagonjwa haya sasa hao hapo 480.
ukitaka lia ukitaka cheka..
Ila habari ndo hyo.
BBC swahili jana wamemaliza kila kitu. serikali ishapoteza uaminifu kwa watu wake siwezi kuamini...ni bora nishinde kwa page za mange na kigogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…