Kwa nini umezidisha kwa 1.4 kiongozi??Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...
Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...
480*1.4 = 672.
Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Wako wapi hao wengine mkuuhawa waongo, wako zaidi ya hao
Mimi huyu punguani kanijibu pumba ila usibishane na pumbavu, watu hawataona tofauti kati yako na yeye. Mwache.Kenge wewe,nani kasema nasubiri serikali itangaze?Mimi nilimuiga JPM kitambo,familia yangu iko kijijini nimeipeleka huko mapema sana!Nimebaki mjini napambana mwenyewe huku nikuchukua tahadhari!Sasa wewe jidanganye umeambiwa upige kazi na usitishike wakati anayekuambia hivyo kakimbia na familia yake kujificha kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!Period!
Utakoma amekukamata mgongoni au unasubiri mpaka akufanyie kila kitu.mshamba mmoja hivi ndo katufikisha hapa
Wao wamejifungia sisi maisha yanaendelea kama kawaidaIdadi ya maambukizi imekua kwa kasi hadi tumewapita hadi Kenya ambao walianza kupata maambukizi kabla yetu.
Endeleeni kujifukiza jamani.
Jilinde na ulinde familia yako, ukiwa na Imani, basi ikulinde hiyo Imani, usimtusi aliye vaa masiks kisa wewe unaimani, hivyo hivyo Kwa mwenye Imani asmtusi mvaa barakoa kisa yeye anayoimaniKiburi kinaanzia kwa yule aliyewadanganya eti wafanye maombi na kazi tuuu! Double standard nayo imechangia. Leo lisemwe hili kesho msitishwe, keshokutwa maombi, mtondogoo mask lazima. Lipi tuchukue.
Ukiwemo wewe!ukiona maziko ya watu wasiozidi 10 pigia mstari
New york wanafurahi vifo vimenza kupungua kutoka 700+ mpaka 400+ alafu wewe unashangaa reported cases 39 kwa siku. Au ulitaka ziwe 1000 kwa siku?This is very serious, wastani wa Wagonjwa Wapya 39 kila siku?? Mungu tusaidie
Wanavaa suti kumbe wanadanganya umma siyo?
Taarifa sahihi na kwa wakati ni muhimu katika vita hii dhidi ya Corona!afadhali wametangaza wagonjwa hao wapya. manake kuna watu wamelilia kusikia wagonjwa wapya mpaka wanatia huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalinganisha mkojo na maviNew york wanafurahi vifo vimenza kupungua kutoka 700+ mpaka 400+ alafu wewe unashangaa reported cases 39 kwa siku. Au ulitaka ziwe 1000 kwa siku?
+6Vifo bado ni 10?
Nashangaa sana kwa kweli sijui ni kutafuta sifa ama ni nini hasa sijajua, yaani mtu analizimisha vitu ambavyo havipo kwa makusudi kabisa, sijui ni kwa faida ipi hasa anayo ipata[emoji16][emoji16][emoji16].wabongo tuna tabu sanaa.
Haya tuwekee idadi yako sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app