COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Ni dakika ya thelathini ya mchezo hali ni tete. Corona amechoka na kocha anaamua kumpuzisha na nafasi yake inachukuliwa na "MATATIZO YA UPUMUAJI". Kwako Mwalimu KASHASHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo lolote lile takwimu ni sahihi, na ukumbuke hizi takwimu zinatumiwa mpaka na WHO, EU ama AU katika kufanya maamuzi ya kutoa msaada pale utakapoitajika kwa nchi inayokuwa imeelemewa. Usifikiri inatangazwa tu kama fashion na pia ikigundulika kuna udanganyifu uwezekano wa kupigwa vikwazo na mataifa wafadhili ni mkubwa.
Watu wengi hawafaham hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawachukia wasukuma?! Na wengine wakichukia kabila lako wewe na watu wake itakuwaje?! Epuka migogoro ya dini na ukabila...ni hatari Sana...Kuna nchi na jamii zimesambaratika kwa mambo hayo...TZ tuna bahati hatuna migogoro ya dini na ukabila inayojitokeza wazi...hata wakati wa Mwalimu Nyerere wako wachache waliokuwa wakisema upenyoni watu wa mkoa wa Mara wanapendelews...
Wapi nimesema nachukia Wasukuma?! Nimesema nachukia Wasukuma au nimesema "wanaokera zaidi ni wale walioapa kutetea kila kitu kwa sababu tu Rais ni Msukuma mwenzao"!! Na hapa KATU siwezi kuwa mnafiki... NAWACHUKIA SANA WATU WANAOTETEA WANASIASA KWA SABABU TU WANAWATETEA WATU WA MAKABILA YAO!!

Na kama nawe unamtetea Magufuli na serikali yake kwa kila jambo kwa sababu tu nyote ni Wasukuma, then SHAME ON YOU!!

Btw, unataka kujifanya umesahau hata vipeperushi na ujumbe wa sauti ambavyo vilisambazwa na Gwajima, ambao Channel 10 wanahabarisha:-
Sambamba na kipeperushi hicho, askofu Gwajima pia ametoa ujumbe wa sauti unaompongeza Mhe. Rais na kuhamasisha wasukuma kurejesha utamaduni wao wa zamani wa kutumia lugha yao, kusaidiana katika shida na raha na kuwataka wasukuma kuunda vikundi kwenye mitandao ya kijamii vya watu elfu mbili (2000) kwa lengo la kufuatilia watu wanaomtukana Rais na kuwashughulia.
Habari kama hiyo pia iliandikwa na Nipashe kwamba:-
Katika taarifa yake hiyo, Kamanda Wambura alisema Askofu Gwajima pia ametoa ujumbe wa sauti wenye ujumbe wa kumpongeza Rais na kuhamasisha Wasukuma kurejesha utamaduni wao wa zamani wa kutumia lugha yao, kusaidiana katika shida na raha na kuwataka waunde vikundi kwenye mitandao ya kijamii vya watu 2,000 kwa lengo la kufuatilia watu wanaomtukana Rais na kuwashughulikia.
Sasa mimi na huyo Msukuma Gwajima sijui ni nani anayechochea ukabila!

Na ukweli wenyewe ndo huo... hata hapa JF wapo wengi tu wanaounga kila kauli ya Rais na yale kutoka serikalini sio kwa sababu wote hao ni wana-CCM ambao siwezi kuwalaumu sana, au kwa sababu wanakubaliana nae kwa yote hayo, bali wanafanya hivyo kwa sababu tu Rais ni Msukuma mwenzao, PERIOD!!
but coming to the point ya Corona hakuna anayebisha kuhusu hatari ya Corona...ila baadhi yet hatpendi exaggerations na lawama zisizo na maana..watu wamekaa mkao wa kulaumu tu mamlaka Kila kukicha...yaani watu wamekaa kuangalia makosa tu..halafu hata uzalendo haupo kabisa..eti watu wanaisifu Kenya sijui Mara Rwand na kadhalika...na Wala hawajui kinachoendelea huko Rwanda, Kenya na kwingineko kuhusu maoni ya raia wa huko..Relatively Tanzania we are doing better katika vita hivi ila Tatizo ni mzaha wetu sisi wanachi...katika mitaa mingi ya Dar watu wanafanya mzaha kwa kutozingatia maslekezo..ingewekwa lockdown hapa Nina hakika malalamiko yangekuwa ya kutisha...
You're very fuuny!!

Kuna ndugu yangu mmoja hapa, moja ya vichwa adimu sana hapa JF kwa jina Kataskopos anafahamu kwamba huwa najitambulisha kama "Beberu" na pia kama "Kibaraka wa Mabeberu"... si ndivyo mnavyotuita sie wakosoaji!!

Kama ndugu yangu huyu anakumbuka, niliwahi kumwambia kwamba hakuna Jukwaa ambalo nakosa ujasiri wa kuchangia kama Jukwaa la Kenya... WHY?!

Kule yakiandikwa maovu kuhusu Tanzania, na kama naamini kabisa haya ni maovu ya serikali, ki ukweli nakosa kabisa nguvu ya kuchangia kwa sababu naona ni kama "washing my own dirty linen in public"!!

Wakati mwingine huwa natamani mada iondolewe kule Jukwaa la Kigeni na kuletwa kwenye local forums ili niwatandike vizuri... matokeo yake naishia kuwa msomaji na kuondoka, huku wakati mwingine nikiwachana Wakenya wakati najua kabisa kwamba wanachosema ni sahihi!!!

Hata hivyo, nitakuwa mjinga sana, tena mjinga niliyepitiliza eti niache kusema ukweli kwamba Magufuli na serikali yake wamefanya mambo ya hovyo kabisa ku-handle issue ya coronavirus ukilinganisha na majirani zetu, hususani Uganda na Rwanda!!!

Na sio nitakuwa mjinga bali nitakuwa mpumbavu nikisema Rais Magufuli na serikali yake wamefanya "a great job" ku-handle issue ya corona ukilinganisha na majirani zetu!!

Na nitakuwa mnafiki nisipopongeza jitihada za Uganda na Rwanda ambao hadi leo hakuna confirmed death! Nitakuwa mtu wa ajabu nisipopongeza juhudi za Kenya na Uganda ambao kila moja wamefanya testing kwa watu zaidi ya 15K huku Rwanda ikiwa imefanya zaidi ya 7K... Tanzania?!

Na kama kuna kipindi ambacho nimechangia sana kule Kenyan & International Forums against ALL GOVERNMENTS duniani and their leaders (Including Magufuli) zilizoleta mzaha kwenye issue ya coronavirus, basi msimu huu ndo nimechangia sana, na nitaendelea kuchangia!!

Isitoshe, hata nyie wenyewe wala sio kwamba ni Wazalendo kwa maana wala allegiance yenu haipo kwa taifa/nchi bali ni watiifu kwa watu na serikali!!!

Serikali na taifa, ni vitu viwili tofauti na mzalendo wa kweli ni yule asiyeona taabu kuikosa serikali ikiwa anaamini serikali inafanya mambo yanayoweza kuligharimu taifa!!

Kwamba, hatujui kinachoendelea huko tunakosifia, wewe tueleze basi manake niliwahi kuwapa changamoto mtaje ni kipi kinachooendelea huko unachoweza kulinganisha na maisha ya watu!

Ingawaje sikuwa mfuasi wa lockdown lakini niliwahi kuwapa changamoto mnitajie ni wangapi wamekufa huko Rwanda, Uganda na Kenya kutokana na njaa iliyosababishwa na lockdown... hakuna hata mmoja aliyetoa hilo jibu zaidi ya kuishia kusema "Hamjui kinachoendelea huko!"
 
Tunahitaji kuchukua tahadhari tahadhari zaidi ili kubaki salama. Pia utaratibu wa awali wa kutaja mikoa wanayotoka wagonjwa, ulikuwa unasaidia watu kujihami zaidi kuliko huu wa kutotaja mikoa wanayotoka Wagonjwa.

Kama utaratibu ule haukuwa umeleta madhara basi uendelee maana utarusaidia watanzania kuchukua tahadhari zaidi.
 
Na sio nitakuwa mjinga bali nitakuwa mpumbavu nikisema Rais Magufuli na serikali yake wamefanya "a great job" ku-handle issue ya corona ukilinganisha na majirani zetu!!

Na nitakuwa mnafiki nisipopongeza jitihada za Uganda na Rwanda ambao hadi leo hakuna confirmed death! Nitakuwa mtu wa ajabu nisipopongeza juhudi za Kenya na Uganda ambao kila moja wamefanya testing kwa watu zaidi ya 15K huku Rwanda ikiwa imefanya zaidi ya 7K... Tanzania?!

Mkuu Chige hatuombei mabaya lakini muda tu ndiyo utasema ukweli.
These lads are in deep denial and in the wrong side of history.
 
April 30, 2020
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro asema waTanzania wengi tuna maambukizi ya Covid-19


Hilo ni baada ya Regional Commissioner Anna Mghwira wa mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania kujipima kwa hiyari na kugundulika ana virusi vya coronavirus huku akiwa haoneshi dalili zozote tajwa za gonjwa la Covid-19. Dalili za kikohozi kikavu, kukohoa, homa, kuharisha na tatizo la kupumua ni dalili tajwa za Covid-19.

Kufuatia majibu hayo ya vipimo kuonesha Covid19+ve Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ametangaza kuwa anaumwa ugonjwa wa corona siku chache baada ya kupima.

Source : millard ayo
 
Ndio kwa sababu nataka nisaidike inabidi nifanye kila mbinu ili niweze kuokoka.

Maana mpaka sasa hakuna dawa mahususi. Unaweza kujaribu yoyote ile ambayo inafaa. Hata Trump amekuwa akishauri vitu mbalimbali vifanyike ili kujiokoa na korona kama matumizi ya dawa ya malaria. Japo naye anapingwa.
field marshall1
 
Chige,
Mimi siyo msukuma lakini kwangu JPM is the best president...Kama tungebahatika kupata mtu Kama JPM baada ya Mwinyi nadhani nchi hii ingekuwa mbali Sana kiuchumi.

Tulipoteza miaka 20 bure...Achana na vipeperushi vya huyo uliyemtaja...Mimi sitaki kuingia kwenye mijadala ya Aina hiyo...
 
Vipi dadangu, mbona unarukia treni kwa mbele?! Post haikuhusu wewe, sasa how come unatoa povu?! Niliyem-tag haja-mind, unakuja ku-mind wewe?! Au ni mumeo?! Au meachika au umeletewa nyumba ndogo na kwahiyo stress zako za kuachwa unazileta JF?!

Kama baada ya kuachwa umeamua kutafuta bwana, tafuta staili nyingine na sio kurukia rukia wanaume hovyo kima wewe!
Wewe tulia mama yako kazi aliokuwa anaifanya kabla hajafa, imemkutanisha na dozen ya wanaume. Inawezekana mie nikawa baba yako kuwa na adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tulia mama yako kazi aliokuwa anaifanya kabla hajafa, imemkutanisha na dozen ya wanaume. Inawezekana mie nikawa baba yako kuwa na adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kwako ni mmoja tu... kama ulichosema ni kweli kwamba mumeo anakuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu, basi fanya kama nilivyokuwa nimeshauri mwanzoni... kamshitaki kwenye Dawati la Jinsia kabla hajakuharibu.

All in all, stop pushing harder cuz' as I told you earlier, you're not my type... sorry Reconcile with your man ili mletee pamoja! Your kids need you; hivi nyie wanawake wa siku hizi mpoje?! Yaani mtu kupita mara moja tu ndo unataka umgande?!
 
May 3, 2020
RAISI MAGUFULI AMJIBU MBOWE TENA KWA UKALI/ASHANGAZWA NA VIPIMO VILIVYOFANYIKA"NI MAMBO YA AJABU"



Source : TANZA LIVE TV
Hii National Referral Laboratory jijini Dar es Salaam - Tujiulize hofu ya wataalamu wa maabara Kuu kufanyia kazi sampuli za kushukiwa za COVID-19 ni kutokana na mazingingira hatarishi ya maabara kukosa vifaa kinga, vifaa kazi au ni uzembe wa wakuu wa Maabara ya Taifa
 
May 2, 2020
Kongwa, Dodoma
Tanzania
Kumbe hii ndo sababu ya wabunge kuhama CHADEMA | Spika Ndugai awachana CHADEMA na Mbowe
Kwa njia ya simu Mh. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza toka nyumbani kwake Kongwa na Radio East Africa ya jijini Dar es Salaam kuhusu masuala mbalimbali yaliyojiri katika wiki hii inayoishia siku ya ijumaa tarehe 1 May 2020


Source : EastAfricaRadio
 
Back
Top Bottom