Ni dakika ya thelathini ya mchezo hali ni tete. Corona amechoka na kocha anaamua kumpuzisha na nafasi yake inachukuliwa na "MATATIZO YA UPUMUAJI". Kwako Mwalimu KASHASHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi hawafaham hilo.Jambo lolote lile takwimu ni sahihi, na ukumbuke hizi takwimu zinatumiwa mpaka na WHO, EU ama AU katika kufanya maamuzi ya kutoa msaada pale utakapoitajika kwa nchi inayokuwa imeelemewa. Usifikiri inatangazwa tu kama fashion na pia ikigundulika kuna udanganyifu uwezekano wa kupigwa vikwazo na mataifa wafadhili ni mkubwa.
Kujifukiza kunaweza kusiwe ushirikina ila ni upumbavu uliopindukia.Kwani kujifukiza ni ushirikina?
Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
Wapi nimesema nachukia Wasukuma?! Nimesema nachukia Wasukuma au nimesema "wanaokera zaidi ni wale walioapa kutetea kila kitu kwa sababu tu Rais ni Msukuma mwenzao"!! Na hapa KATU siwezi kuwa mnafiki... NAWACHUKIA SANA WATU WANAOTETEA WANASIASA KWA SABABU TU WANAWATETEA WATU WA MAKABILA YAO!!Unawachukia wasukuma?! Na wengine wakichukia kabila lako wewe na watu wake itakuwaje?! Epuka migogoro ya dini na ukabila...ni hatari Sana...Kuna nchi na jamii zimesambaratika kwa mambo hayo...TZ tuna bahati hatuna migogoro ya dini na ukabila inayojitokeza wazi...hata wakati wa Mwalimu Nyerere wako wachache waliokuwa wakisema upenyoni watu wa mkoa wa Mara wanapendelews...
Habari kama hiyo pia iliandikwa na Nipashe kwamba:-Sambamba na kipeperushi hicho, askofu Gwajima pia ametoa ujumbe wa sauti unaompongeza Mhe. Rais na kuhamasisha wasukuma kurejesha utamaduni wao wa zamani wa kutumia lugha yao, kusaidiana katika shida na raha na kuwataka wasukuma kuunda vikundi kwenye mitandao ya kijamii vya watu elfu mbili (2000) kwa lengo la kufuatilia watu wanaomtukana Rais na kuwashughulia.
Sasa mimi na huyo Msukuma Gwajima sijui ni nani anayechochea ukabila!Katika taarifa yake hiyo, Kamanda Wambura alisema Askofu Gwajima pia ametoa ujumbe wa sauti wenye ujumbe wa kumpongeza Rais na kuhamasisha Wasukuma kurejesha utamaduni wao wa zamani wa kutumia lugha yao, kusaidiana katika shida na raha na kuwataka waunde vikundi kwenye mitandao ya kijamii vya watu 2,000 kwa lengo la kufuatilia watu wanaomtukana Rais na kuwashughulikia.
You're very fuuny!!but coming to the point ya Corona hakuna anayebisha kuhusu hatari ya Corona...ila baadhi yet hatpendi exaggerations na lawama zisizo na maana..watu wamekaa mkao wa kulaumu tu mamlaka Kila kukicha...yaani watu wamekaa kuangalia makosa tu..halafu hata uzalendo haupo kabisa..eti watu wanaisifu Kenya sijui Mara Rwand na kadhalika...na Wala hawajui kinachoendelea huko Rwanda, Kenya na kwingineko kuhusu maoni ya raia wa huko..Relatively Tanzania we are doing better katika vita hivi ila Tatizo ni mzaha wetu sisi wanachi...katika mitaa mingi ya Dar watu wanafanya mzaha kwa kutozingatia maslekezo..ingewekwa lockdown hapa Nina hakika malalamiko yangekuwa ya kutisha...
Na sio nitakuwa mjinga bali nitakuwa mpumbavu nikisema Rais Magufuli na serikali yake wamefanya "a great job" ku-handle issue ya corona ukilinganisha na majirani zetu!!
Na nitakuwa mnafiki nisipopongeza jitihada za Uganda na Rwanda ambao hadi leo hakuna confirmed death! Nitakuwa mtu wa ajabu nisipopongeza juhudi za Kenya na Uganda ambao kila moja wamefanya testing kwa watu zaidi ya 15K huku Rwanda ikiwa imefanya zaidi ya 7K... Tanzania?!
Kwa sababu gani ni upumbavu uliopindukia?Kujifukiza kunaweza kusiwe ushirikina ila ni upumbavu uliopindukia.
Unajifukizia ili iweje?Kwa sababu gani ni upumbavu uliopindukia?
Nijikinge na kujitibu.Unajifukizia ili iweje?
Watu wanashindwa kutofautisha kati ya reported cases na serious cases and recovered patients.Wamepona 167 na wamebaki 296 na vifo 16.
Hawezi ona kwa sababu kiko alichotaka kukiona...Yeye mwenyewe waziri mkuu
Humuoni hapo kwenye hiyo clip?
Kujifukiza kunaweza kusiwe ushirikina ila ni upumbavu uliopindukia.
Wewe tulia mama yako kazi aliokuwa anaifanya kabla hajafa, imemkutanisha na dozen ya wanaume. Inawezekana mie nikawa baba yako kuwa na adabu.Vipi dadangu, mbona unarukia treni kwa mbele?! Post haikuhusu wewe, sasa how come unatoa povu?! Niliyem-tag haja-mind, unakuja ku-mind wewe?! Au ni mumeo?! Au meachika au umeletewa nyumba ndogo na kwahiyo stress zako za kuachwa unazileta JF?!
Kama baada ya kuachwa umeamua kutafuta bwana, tafuta staili nyingine na sio kurukia rukia wanaume hovyo kima wewe!
Ushauri wangu kwako ni mmoja tu... kama ulichosema ni kweli kwamba mumeo anakuingilia kinyume na maumbile kwa nguvu, basi fanya kama nilivyokuwa nimeshauri mwanzoni... kamshitaki kwenye Dawati la Jinsia kabla hajakuharibu.Wewe tulia mama yako kazi aliokuwa anaifanya kabla hajafa, imemkutanisha na dozen ya wanaume. Inawezekana mie nikawa baba yako kuwa na adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii National Referral Laboratory jijini Dar es Salaam - Tujiulize hofu ya wataalamu wa maabara Kuu kufanyia kazi sampuli za kushukiwa za COVID-19 ni kutokana na mazingingira hatarishi ya maabara kukosa vifaa kinga, vifaa kazi au ni uzembe wa wakuu wa Maabara ya Taifa