Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Labda Dubai ya KatoroNilishapata Dubai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda Dubai ya KatoroNilishapata Dubai!
Mgaya yupi? Yaani profesa wa samaki leo anatuthibitishia ubora wa chanjo?Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na mkurugenzi mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho.
Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu katika kila watu 1,000,000 hivyo usalama wake ni wa uhakika.
Prof Mgaya amesema anatamani angekuwa miongoni mwa watu watano wa kwanza watakaochanjwa kesho.
Source: Clouds tv
Uwe unafuatilia matangazoSafi kabisa.
Wote!Na corona inaathiri watu wangapi kati ya 1,000,000??
Elimu ni swala mtambuka bwashee!Mgaya yupi? Yaani profesa wa samaki leo anatuthibitishia ubora wa chanjo?
Nafatilia sana, ila usishangae gear ikabadilikia angani ikawa lazima. usiamini sana watawala.. hua wanatafuta pa kuanzia kupitisha jambo kuwa lazimaUwe unafuatilia matangazo
hata akidungwa hiyo chanjo haimanishi kwamba alichokisema ni batili,ukweli unabaki palepale.....Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na mkurugenzi mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho.
Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu katika kila watu 1,000,000 hivyo usalama wake ni wa uhakika.
Prof Mgaya amesema anatamani angekuwa miongoni mwa watu watano wa kwanza watakaochanjwa kesho.
Source: Clouds tv
Hahahaaaa....... Ufipa mtaletewa ya China subirini hapo hapo!Labda Dubai ya Katoro
Hakuna cha mtambuka hapo! Ni mtu anayesubili kuambiwa, naye anasema hayo hayo!Elimu ni swala mtambuka bwashee!
Duniani hakuna hiyari bwashee!Nafatilia sana, ila usishangae gear ikabadilikia angani ikawa lazima. usiamini sana watawala.. hua wanatafuta pa kuanzia kupitisha jambo kuwa lazima
Kama hakuna ubabe na kujipendekeza huko NIMR, basi hakuna tatizo hata kama angekuwa amesoma Sayansi Kimu kwa sababu, yeye ni Mkurugenzi tu hapo NIMR, na kwahiyo tunatarajia awe anaongea kile kinachotoka kwa watalaamu wa hapo!!Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
Mkuu acha sisi tupate chanjoNafatilia sana, ila usishangae gear ikabadilikia angani ikawa lazima. usiamini sana watawala.. hua wanatafuta pa kuanzia kupitisha jambo kuwa lazima
Hahahahah, Mkuu,[emoji134][emoji134][emoji134], Gwajima sio wa kuamini maneno yake...Labda adungwe kimya kimya, ila tutamtukana kweli akidungwa hadharani.
CCM kama wana akili ya kumjeruhi kisiasa na kiheshima Askofu Gwajima, inatakiwa wawalazimishe mawaziri na wabunge wote wachomwe chanjo za Covid hadharani ili iwe hamasa kwa wananchi.
Na wa mwanzo kabisa kuchomwa chanjo awe "ASKOFU GWAJIMA" huku camera zikimchukua kwa ukaribu. Halafu vyombo vya habari apate airtime ya kutosha usiku kwenye habari kwa kuoneshwa akichoma chanjo. Kesho yake magazeti yote yaweke picha zake ukurasa wa mbele sindano ikiingia begani.
Sijui ataweka sura yake wapi siku ya pili magazeti yatakavyo mzodoa. Hajui siasa chafu huyu rashidi.
Sasahivi hata bando imekubwa tabu kwakoHahahaaaa....... Ufipa mtaletewa ya China subirini hapo hapo!
umejiuliza vizuri sana,yaani flow yako ya kimantiki imekaa vizuri sana,kama wengi wataamua kujiuliza kama wewe kwenye mambo mengi yahusuyo covid19 basi wengi sana watajiokoa kutoka kwenye huu upuuzi wa chanjo.....Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
KabisaThe only way to know if the vaccine works is by testing na sio theories. lets say they tested the vaccines for the past 12 months, but what about for the next 10 years?
Every drug and vaccine we take has negative effects, but we use them because they have been experimented and the negatives of not using them are significant compared to the negatives of using. We can't literally say the same with covid vaccines, can we?
Ukiamua kuchanja maana yake unaona madhara ya COVID ni makubwa kuliko athari zisizofahamika au zinazofahamika baada ya kuchanjwa.