#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

umejiuliza vizuri sana,yaani flow yako ya kimantiki imekaa vizuri sana,kama wengi wataamua kujiuliza kama wewe kwenye mambo mengi yahusuyo covid19 basi wengi sana watajiokoa kutoka kwenye huu upuuzi wa chanjo...
Hamjalazimishwa kuchanja
 
Kwanza nasikitika kusikia kwamba Prof. wa samaki ndo anayeongoza shirika la utafiti wa afya. Naye bila aibu anajitokeza kuthibitisha ubora wa chanjo.

Hiyo ni chanjo iliyokataliwa kwingine, unaiteteaje kwa moyo wote wakati ktk elimu yako hujawahi kusomea taaluma hiyo? Kwa mtindo huu taifa linaangamia.
 
Sijamsikia na inawezekana akawa sahihi, ila huyu baba alisoma wapi vaccinology? Yeye yuko kwenye samaki na mambo ya bahari muda wote, authority anaitoa wapi ya kuongelea vaccinology? Tuwekee papers zake kwenye hii field.
Huyu ali advocate malimao na NIMRCAF enzi wa Mwendazake, leo analeta talalila za vaccine.
Wadhifa wake (DG) haumlazimu kuwa mtu wa field hiyo..
Ana subordinates...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho...
Hivi huyu Mgaya ndiye yule "MZEE" ambaye umekuwa ukituletea taarifa za maoni yake kila wakati, sivyo?
 
Back
Top Bottom