#COVID19 #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

Mgaya yupi? Yaani profesa wa samaki leo anatuthibitishia ubora wa chanjo?
 
Na corona inaathiri watu wangapi kati ya 1,000,000??
 
hata akidungwa hiyo chanjo haimanishi kwamba alichokisema ni batili,ukweli unabaki palepale.....

Mara nyingi mabeberu walikua na wanaendelea kutumia mbinu hii kwenye propaganda zao,yaani wanatumia nguvu kubwa sana ya kifedha au vitisho kulazimisha watu maarufu ambao ndio vinara wa upingaji wa nia ovu za mabeberu ili wakubali kufanya kinyume na kile vinara hao walichokua wanahubiri ili kushawishi kundi kubwa la watu waliokua nyuma ya huyo kinara waamini kinyume na ukweli uliokua ukihubiriwa.

wazoefu wanasema..."mpige mchungaji na kondoo watatawanyika"....yaani watu wakiona Gwajima anachoma chanjo hadharani,hata kama sindano haitazama ndani ya mwili wake,basi kuna kundi kubwa sana litabadili mtazamo wao wa awali.....

Hivi ndivyo propaganda za mabeberu zinavyofanikiwa kwa urahisi.
 
Nafatilia sana, ila usishangae gear ikabadilikia angani ikawa lazima. usiamini sana watawala.. hua wanatafuta pa kuanzia kupitisha jambo kuwa lazima
Duniani hakuna hiyari bwashee!

Hiyari iko mbinguni tunakochagua kati ya Mungu au shetani!
 
Kama hakuna ubabe na kujipendekeza huko NIMR, basi hakuna tatizo hata kama angekuwa amesoma Sayansi Kimu kwa sababu, yeye ni Mkurugenzi tu hapo NIMR, na kwahiyo tunatarajia awe anaongea kile kinachotoka kwa watalaamu wa hapo!!

Lakini kama kuna kujipendekeza, hapo ndo linaanza tatizo...

Ndo pale Kigwangala yule yule aliyekuwa anakejeli chanjo wakati wa Magu kwa sababu tu Magu alikuwa anakejeli chanjo; leo ndie Kigwangwala huyo huyo anayeshabikia chanjo kwa sababu tu SSH ni mfuasi wa chanjo!!!
 
Hahahahah, Mkuu,[emoji134][emoji134][emoji134], Gwajima sio wa kuamini maneno yake...

Aliwahi kusema siku zile akiwa kwenye mtafaruku na makonda kua hataki na hana nia ya kuomba nafasi yoyote serikalini au nafasi ya kisiasa, lakini saivi ni mbunge wa chama cha Mapinduzi.

Sina hakika sana kama ataendelea na msimamo wake huu, kwa sababu ni Mtu wa kubadilika badilika....

Katika yote, hayo tukumbuke chanjo ni hiari, so kila mtu ana maamuzi yake na ni vizuri kupata ushauri wa wataalamu wa afya kabla ya kupata chanjo na usimshauri mtu kama huna taarifa na maarifa zaidi kuhusu chanjo...

Respect mkuu......
 
The only way to know if the vaccine works is by testing na sio theories. lets say they tested the vaccines for the past 12 months, but what about for the next 10 years?

Every drug and vaccine we take has negative effects, but we use them because they have been experimented and the negatives of not using them are significant compared to the negatives of using. We can't literally say the same with covid vaccines, can we?

Ukiamua kuchanja maana yake unaona madhara ya COVID ni makubwa kuliko athari zisizofahamika au zinazofahamika baada ya kuchanjwa.

Tunalazimishwa kuchanjwa maybe because wanaotaka tuchanjwe wananguvu kutuzidi, but the truth is, we are still not that desperate to the point tufikie kudugwa chanjo zisizo fanyiwa majaribio yakutosha.

They say "Desperate Times Call for Desperate Measures". These vaccines represents desperate measures created by desperate people, and we on the other hand are still not that desperate.
 
umejiuliza vizuri sana,yaani flow yako ya kimantiki imekaa vizuri sana,kama wengi wataamua kujiuliza kama wewe kwenye mambo mengi yahusuyo covid19 basi wengi sana watajiokoa kutoka kwenye huu upuuzi wa chanjo.....

Watu hawataki kujiuliza ni kitu gani kimewalinda kuanzia tangu wimbi la kwanza na la pili la huu ugonjwa fake kiasi cha kukipuuzia na kuja kuamini kitu kingine kutoka kwa mzungu.
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…