CRDB bank inafilisika?

Mshiiri

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
2,012
Reaction score
512
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.


CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'

Customers beware
 
Umetumwa wewe, nenda tawi la lumumba utaona jinsi wateja wanavyokuwa registered na kupewa namba pindi wanapoingia. Hapo husubiri huduma wakiwa seated. Kila kizuri hakikosi kasoro.
 
ngoja nifuatilie then nitakuja ku comments
 
AAH MSHIHIRI. NAAMINI JUDGMENT YAKO HAIKO SAHIHI NAWE HAUKO SAHIHI. HII NDO BONGO NDG YANGU MAMBO HULETWA KWA KASI LAKINI AS TIME GOES SPEED QUAKITYVYAKE HUPUNGUA PIA KUNA KITU KINAITWA BUSINESS AS USUAL, NDO ICHO KINAONEKANA CRDB. SIDHANI KAMA HIZO Signs OF BANKRUPTCY.

KM NI KWELI NBC. NMB. POSTA BANK.... MANAKE ZLISHAKUFA KITAMBO APO
 
CRDB ndiyo benki bora hapa Tz....huo ni mtazamo wangu. Mimi nina akaunti kwenye benki nyingine tatu ambazo ni Exim, Ecobank na NBC lakini katika hizi benki, CRDB ni madhubuti ktk kila idara ukilinganisha nq hizi.
 
Umetumwa wewe, nenda tawi la lumumba utaona jinsi wateja wanavyokuwa registered na kupewa namba pindi wanapoingia. Hapo husubiri huduma wakiwa seated. Kila kizuri hakikosi kasoro.
Hiyo haitoshi kujustfy kwani tawi la lumumba ndo linaoperate nchi nzima??
 
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?
 
Sasa unaposema eti hamna register ya waiting customers mbona hukutoa exceptional ya lumumba. Tumekungundua huna data sahihi za crdb
 
Sasa unaposema eti hamna register ya waiting customers mbona hukutoa exceptional ya lumumba. Tumekungundua huna data sahihi za crdb

Hii ya Lumumba hata kama ingejumuishwa ni negligible na huenda ni sample wamewekewa bure ikiwa watapenda ndio hiyo kampuni ifanye biashara. The bank that listen haina la kutuambia ... benki sasa zinatakiwa kwenda na wakati na kutengeneza image. CRDB imefeli kabla haijaanza kutengeneza hiyo image. Kufilisika ndio hiyo kushindwa ku-maintain na kuboresha huduma ulizo nazo. Kukua si kuwa na matawi tu hadi Burundi bali ni kutoa huduma consistently.

Kwa mfano usiku SIM Banking haifanyi kazi, kila ukitaka kuingia inakupa maelekezo kumaanisha kuwa sasa CRDB benki imelala. Ukubwa unaofikiri kuwa CRDB haijafilisika ni makosa makubwa sana hasa pale usipopenda kutazama kwa kuwa bank hii inawateja vipofu na yenyewe ni kiziwi hivyo hii message haitaleta maana fulani.

Ulimwengu wa sasa biashara iko electronic na hivyo maintenance ya infrastructure ya electronic ni cheap kuliko manual control or over the counter transactions ambazo zina risks za bad customer care na additionally costly for the overhead/salaries etc. Kuamini MPESA inafanya customer satisfaction best than CRDB. Available all the time, money available all the time and MPesa customer hotline available all the time as well. CRDB amkeni la sivyo kwa sasa tunaiona benki kama kabla ya kuendeshwa na ninyi.

Kama unabisha piga namba yao hata ile inayosema kama hutambui muamala huu piga namba fulani ambayo haipokelewi na hivyo kutokuleta maana ya bank that listens. Biashara ya huduma it is either you do it properly or do not attempt --- CRDB must learn that.
 
Mti wenye matunda mazuri ndio hutupiwa mawe CRDB ndio benk ya kipekee kuona wateja wanakaa ndani ya tawi kutumia QMS kwa wateja wake ni Benki pekee ya wazawa kujiendesha yenyewe. Call Center yao ni masaa 24/7 hayo usemayo sii kweli nilikuwa Afrika ya Kusini nikapiga simu saa tisa usiku na huduma nilipata. CRDB najivunia benk yangu nina account NMB foleni asubuhi mpaka mgongo unauma.
 
Profit yao ni million 100? Naona hesabu hujui kabisa ingia kwenye mtando wao uone walipata Trillion ngapi faida kwa mwaka! Jile79
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…