Mshiiri
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 2,012
- 512
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.
CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'
Customers beware