CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

Kabisaa walinifanya ni siwekee helaa tena,fikiria waliniambia account hai kati charge,kama mmachinga nikawa naweka vijisti mamàae naenda kuchukua wamekata 17000 katika 25000,huu si ungesee
Wakuwekee bure na ukaamini
 
Kama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !

Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Hatuongelei vijisenti unavyoviweka kwenye pochi yako.
Watu wana mabilioni, hata chumba chako cha kulala hakitoshi kuzitunza.
Nakama una uwezo za kuzitunza nyumbani kwako zote hizo, na mimi nakutembelea kunywa chai tu.
 
Mim NMB nakuta pesa zinachotwa mara kwa mara nmeenda kweny branch moja kaskazin na wao hawajui mara waseme ni mikopo nawaambia sina mkopo wanabakia kuniangalia tu kisha wanasema tumeshatatua tyr unatatuaje wkt hujui ttzo

Hiz bank zna madudu
 
Acha Porojo za kufikirika !

Njoo kwangu nikugeuze uwe mke wangu !
 
Mim NMB nakuta pesa zinachotwa mara kwa mara nmeenda kweny branch moja kaskazin na wao hawajui mara waseme ni mikopo nawaambia sina mkopo wanabakia kuniangalia tu kisha wanasema tumeshatatua tyr unatatuaje wkt hujui ttzo

Hiz bank zna madudu
Hizi bank za kiswahili kuna wafanyakazi siyo waaminifu wanachota hela kimya kimya weekend wanampa mangi mwenye bar ananunua stock kubwa anatengeneza faida. Hela zinarudishwa Jumatatu na faida wanagawana pasupasu.
 
Kwa nini watu wakiongea kingereza Tanzania wanaitaja kwa kuivuta sana, utasikia Taaanzania, Taaanzania.
 
Benki ya CRDB ni wezi,haifai kuitwa hata SACCOS yaani tupo kumbe wengi tulioibiwa hata account za wanyonge wanakombwa haswa.
Kumbe wezi wenyewe ni wafanyakazi mbwa koko,wasiozingatia taaluma yao.
Ikukupendeza Benki Kuu iweke chini ya uangalizi iuziwe benki makini tuachane na vishoka walivaa kivuli cha benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…