CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

Jamaa anaonekana tapeli tu, story yake yenyewe ata aieleweki wametapeliwa vipi; zaidi ya kulaumu BoT tu.

Kama ana dispute kwanini asifungue ‘civil case’ anaenda BoT.

The mere fact BoT wamekuwa wana correspond nae inaonyesha utaahira wao .
Jamaa anaonekana mwizi mjinga. Bank utafungua account ya biashara bila ya document ya Brela au CRDB watakupa mkopo bila ya kuona cashflow ya biashara na kuweka asset zilizo za kampuni (that’s just guess work) maana ana accuse tu bila ya kutoa maelezo yaliyonyooka.

CRDB leo watakuwa na encrypted system na multiple checks za login, sidhani kama ni raisi mfanyakazi kuingia kwenye account ya mtu na kutoa hela kirahisi.

Halikadhalika tellers pia kutoka na hela ni hadithi atajulikana tu lazima bank ina control system.

JF we wape leading statement tu michango yote itakuwa na mwelekeo. Hii ndio tabia inayonikera ya watanzania just gullible people easily influenced to believe nonsense.
 
Ngoja nisubiri na upande wa pili...wateja ni wepesi sana kulalamika na kusahau makubaliano
Hatulalamiki bure mkuu. Mimi kuna siku nihamisha tshs 40 million kutoka bank X kwenda crdb bank zilipotelea huko 14days na mwisho wa siku wakasema kulikuwa na hitilafu. Bank X alithibitisha hela kuhamamishwa siku ileile niliyotoa instructions. Kama hakupewa mfanyabiasha wa Kariakoo chap China na kurudi ,zilikuwa wapi?The money was meant for an urgent business, ikala kwangu🥲
 
Mwaka 2022 Kuna jamaa yangu alikua anapeleka pesa CRDB mara kwa mara baada ya mauzo kwa wiki alikua anapeleka mara 5, siku nyingine haendi yeye wanaenda wafanyakazi.

Sasa ikaanza tabia kila akipeleka pesa ofisini anahesabu vizuri hela imetimia ila akifikisha bank teller anamwambia imepungua elfu 10.

Mchezo ukawa ni mara kwa mara ile bank ilikua ni Branch ndogo ya CRDB kwahiyo teller walikua wawili akikutana na mmoja ndo tatizo la pesa kupungua linaonekana, siku 1 akaweka mtego akaambiwa 10 imepungua mwamba akaleta noma hadi kwa manager, wakacheki hadi Cctv footage wakagundua yule mwamba alikua anaangusha elfu 10 chini makusudi mara kwa mara kila akihesabu na amewafanyia wateja wengi sana huo mchezo.

Kwahiyo wizi upo sana na kwa njia nyingi sana
 
Watu kama nyie hamtakiwi kwa mada za namna hii, nenda kwa machawa wenzako mshauriane namna ya kupata pesa.
Ahahahahahaaaa !

Sina pesa,ila hizi chache nilizonazo ninauwezo wa kulisha familia yako miaka 10 mfululizo,kuwasomesha wanaosoma Kwa miaka 10 mfululizo na kufanya vyote mnavyotaka miaka 10 mfululizo,kukuvalisha wewe nguo unayotaka Kwa miaka 10 mfululizo,kumvalisha mumeo Kwa miaka 10 mfululizo,kuwavalisha wanao miaka 10 mfululizo,kuwavalisha wazazi wako kijijini kwenu miaka 10 mfululizo,kuwalipia Kodi ya Nyumba Kwa miaka 10 mfululizo !


Kaa Kwa kutulia !
 
Hongera kwa pesa zako mkuu! Ila kwa hapa naona huna hela tu, kama unaanza kuhoji kwa nini watu wasiulize namna pesa zao zinavyotunzwa sidhani kama unazo.
 
Nchi ikiwa ndani ya rais wa ovyo mambo yote yanakuwa ovyo
 
What you call nonsense is a customers peril.
Sitting on your high chairs and not listening to a customers' complaint is a serious matter that erodes confidence in your bank.
That there is pilferage in CRDB's customer accounts is not a matter of debate, its a fact.
The best the Bank can do is to solve these annoying problems before customers wake up to the fact that they might be dealing with an Alibaba of a Bank.
 
Hongera kwa pesa zako mkuu! Ila kwa hapa naona huna hela tu, kama unaanza kuhoji kwa nini watu wasiulize namna pesa zao zinavyotunzwa sidhani kama unazo.
Unawezaje kumpa mtu pesa akutunzie?,kwahiyo unadhani atakutunzia Bure?

Akikata Makato yanayomstahili usianze kubweka,Kaa kimya!

Siwezi kutunza pesa Benki !
 
Kama umeshindwa kutunza pesa zako wewe mwenyewe na ukaona ni heri kuwapelekea watu wengine wakutunzie acha kulalamika mkuu !

Hakuna Sheria inayokulazimisha kupeleka pesa Benki
Utunzaji wa hizo fedha una taratibu zake tena za wazi. Kama Kuna hitilafu mteja hapaswi kusema?
 
Other than the claimant accusation on use of their business name to open an account by allegedly unauthorised individual. what else have you got from his complaint.

He doesn’t make any sense at least based on that clip, how did that fake bank account led to their business failure?

Did they deposit money in that account?

Did the fraudster took a loan using their business asset as collateral.

What exactly are his damages sought which makes CRDD liable? II am sure there is more but not from that clip.

He spent a good 8 minutes complaining about BoT corresponses and seeking intervention from other local and international institutions; without stating clearly his accusation in the first place.

Don’t tell me you understood his actual claims from that clip, if I am missing something enlighten me.

Banks are not stupid they spent much time conducting all sorts of risks assessments; particularly fraud risk from internal and external sources. Without strong control and monitoring measures they can’t have a business nor win customers trust; that’s the essence of their existence.

There is something fishy about that chap, why not open a ‘civil case’ and opting for government sympathy.
 
Tatizo la afya ya akili hiil
 
Kabisaa walinifanya ni siwekee helaa tena,fikiria waliniambia account hai kati charge,kama mmachinga nikawa naweka vijisti mamàae naenda kuchukua wamekata 17000 katika 25000,huu si ungesee
🤣🤣🤣
 
I agree , the chap should have instituted a legal redress to authenticate his claim.
 
Ilikwama tu labda sababu ya mtandao au sababu waliyokupatia...kupotea kwa pesa kwenye mfumo sio rahisi mkuu sababu transaction zinaonekana zinapotoka na zinapokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…