Ni kweli kabisa naungana nawe 💯 % mkuu. CRDB sio wezi electronically tu lakini pia ni wezi physically. Kuna siku nimeenda kuweka pesa zikiwa zimetimia nilipomkabidhi yule teller akaanza kwanza kuzihesabu kwa mikono. Alipoanza kuzihesabu kwenye mashine, ikapungua noti moja ya Tsh 10,000.View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
Usiwe mbishi mkuu. Mtu akiamua kuchezea mfumo hizo transactions hutaziona hata moja.Ilikwama tu labda sababu ya mtandao au sababu waliyokupatia...kupotea kwa pesa kwenye mfumo sio rahisi mkuu sababu transaction zinaonekana zinapotoka na zinapokwenda.
CRDB ni wahuni, matapeli na makanjanja wa kutupwa!View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
Hizo changamoto za kawaida. Kwanini unakimbilia kusema Majid Kazi imemshinda dizain kama unamuonea wivu!!??View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
TUKAZITUNZE WAPI???? Maana hapa ni hatari na NUSUKikubwa CRDB usilaze pesa, itumiw kupokea na kutoa pesa. Ila sio saving
AKwanza CRDB siyo benki kubwa kuliko NMB.
Mambo haya ya wizi hatudikii sana NMB.
Uongozi makini wa benki yoyote huwa inachukua hatua za haraka kumkingia kifua mteja na kuwachukulia hatua wahusika ndani ya benki.
Wateja tukiona huu wizi ukiendelea tutahamisha miamala.

Nchi ya kiqumer sana hii.Kuna familia imepoteza pesa sawa na thamani ya zaidi ya $100,000. Uchunguzi unaendelea mwaka wa tatu sasa haieleweki ziko wapi.
Wamefungua kesi.
Mkuu, kama huyo rafiki yangu aliyeibiwa 17m kwenye akaunti yake , utatamani hadi waziri wa fedha awajibike, na si wivu.Hizo changamoto za kawaida. Kwanini unakimbilia kusema Majid Kazi imemshinda dizain kama unamuonea wivu!!??
Kama pesa zimepotea bank. Basi bank ipo resposponsible. Ila kama zimepotea kwenye ATM au through Bank Transfer imekula kwa jamaa yakoMkuu, kama huyo rafiki yangu aliyeibiwa 17m kwenye akaunti yake , utatamani hadi waziri wa fedha awajibike, na si wivu.
Hujaibiwa wewe na system.
Wiki mbili,nilifuatilia kwa karibu sana wakawa hawatoi maelezo ya kueleweka na chenga nyingi. Kulikuwa hakuna changamoto yoyote ya kimtandao.Ilikwama tu labda sababu ya mtandao au sababu waliyokupatia...kupotea kwa pesa kwenye mfumo sio rahisi mkuu sababu transaction zinaonekana zinapotoka na zinapokwenda.
Zitaonekana tu mwisho wa siku,pamoja na mfumo kuchezewa. Mimi hela yangu huko bank siiachi kizembe bila evidenceUsiwe mbishi mkuu. Mtu akiamua kuchezea mfumo hizo transactions hutaziona hata moja.
Je HSBC ipo hivi?Wanaajiri vibaka na wao mabosi ni wale wale
Wanakujibu Kwa madharau dume zima unawapa wanaume wenzako hela wakutunzie.Ukiwauliza wanasemaje?
Crdb hii bank siiamini kabisa 🙆View attachment 3422559
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko ya huyu mteja nimeikuta TikTok.
Majid Nsekela inaelekea kazi inamshinda, huku akiongeza exposure yake hasa mambo ya kisiasa, badala ya ku run meticulously benki yake.
Fununu nilizopewa ni kwamba wale mameneja waliokuwa groomed na Kimei, wengi wamestaafishwa.
Tulio na miamala benki hii ,hili linatutia wasi wasi.
Wewe hapo Uswazi ya Copenhagen unaweka pesa wapiWanakujibu Kwa madharau dume zima unawapa wanaume wenzako hela wakutunzie.
Mwamba nakufaham sana wewe hupendi upuz a no nonsense person. Cheki sura ya kazi.Watu kama nyie hamtakiwi kwa mada za namna hii, nenda kwa machawa wenzako mshauriane namna ya kupata pesa.