Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Tatizo wengi mmeibukia tu kwenye hii taarifa kwasababu imeenda viral ila mambo mengi yalitokea kipindi cha nyuma hamkuwahi kuyafuatilia.kwa heshima mwamba inabidi astaafu tu timu ya taifa ,mchango wake uwanjani unaendelea kupungua siku baada ya siku.. games nyingi za timu za taifa zimekuwa za ushindani mkubwa sana na yeye uwezo wake na kasi vimepungua.
na pia nothing lasts forever ,true maturity is knowing when your role is complete and leaving with dignity.
Jinsi ulivyo address ni kama Ronaldo ndio anayeitaka sana timu ya Taifa kuliko timu ya Taifa inavyomuhitaji.
Lakini ukweli haupo hivyo man.
Ronaldo aliombwa na raisi wa nchi yake asistaafu kuchezea timu ya Taifa kwasababu bado wanamuhitaji.
Natamani sana mnaofanya hizi judgment mngelijua hili mapema kabla ya kuanza kutoa nasaha.
Na kitendo alichokifanya Jorge Jesus hata yeye alikiri kuwa ni makosa na alimuahidi Ronaldo ataenda kumuomba radhi kwenye press conference.
Lakini haikuwa hivyo, badala yake kazidi kum-disrespect.