Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Portugal, before CR7:

❌ Played in 3/17 World Cups
❌ Played in 3/11 European Championships
❌ 0 titles

Portugal, with Cristiano Ronaldo:

✅ Played in 6/6 World Cups
✅ Played in 6/6 European Championships
✅ European Championship winner 🏆
✅ Nations League winner 🏆
✅ Nations League winner 🏆

Portugal didn't exist before CR7.
In the 1966 world cup that was won by England, I can remember Portugal reached the semi finals after ousting the pre-tournament favourites and the then defending champions Brazil in the quarter finals.

At that time nobody knew that a player by the name Cristiano Ronaldo would one day be born in Portugal.

So your assertion is not true at all. Portugal was there before Ronaldo and it will even exist after Ronaldo has passed away and the same applies for Messi and his native Argentina.

We should stop the idol worshipping and instead cherish the beautiful game of soccer.
 
Goti wa Scars kocha kumwambia afanye warm up ni kwa faida yake.

Na uzee ule nje baridi anaweza kupata shida ya kiafya kutokana na baridi kali.

Kocha kwa kulijua ilo ndio ameamua kumuokoa kwa kumfanyisha warm up.
 
Tofautisha kati ya kujua na kuwa na less enemies.

Anayeanza sio anajua sana ila hana maadui wengi

Huyo anayejua sana stats zake za msimu uliopita zinasemaje tukim-compare na Ronaldo?

Kama huyo ndio anayejua sana mbona hamumlinganishagi na Messi unapokuja mjadala wa GOAT?
Watu humu wanaropoka sana,Kuna mmoja alisema eti Ronaldo kazeeka
hana mchango wowote.
Nikamwambia achukue anayemwona kijana pale ureno aweke statistics za klabu na national team za msimu uliopita tulinganishe na za Ronaldo,jamaa Akala kona
 
Mkitaka kugundua effect ya Ronaldo tazameni mechi zijazo baada ya jamaa kuondoka kambini.

Kwanza tiketi zitauzwa kwa bei ya hasara na katika hao wachache wataoingia kutakuwa na mabango mengi ya kulaani hii dhihaka ambayo Portugal wanamletea CR7.

Ngoja nisubirie Ronaldo aseme yale waliyoongea pamoja na raisi wa shirikisho la Ureno.
Kwahyo ronaldo asistaafu acheze Hadi akiwa na miaka 70 kwa sababu hiyo?
 
Kweli kabisa, wachezaji wengi wa national team wamekuwa wanampuuzia legend Cr7 , hata kumpa pasi uwanjani kuna muda unaona kabisa wanambania, ni muda sasa wa yeye kupumzika kuchezea hii national team a focus na kutimiza magoli 1000
Tatizo haikuwa yeye kung'ang'ania bali Raisi wa shirikisho pamoja na kocha wake ndio waliomlazimisha.

At the end of the day they became Judas
 
Ego, pia ngoma ikivuma sana hupasuka.
Nani asiye na ego?

Kitu anachofanya Ronaldo ndio anachofanya Lamine Yamal lakini huku stori ni tofauti.

Utasikia dogo yupo bold, dogo hapindishi maneno.

Acheni hizi mbanga bana mnaboa watu.
 
Nim
Nimekuambia akae benchi Gonzalo acheze huyu mwamba? Unaleta picha aisee..
Kama Ronaldo hawezi ku offer kitu dhidi ya Gonzalo kulikuwa na sababu gani ya kocha kufanya makubaliano na Ronaldo kuwa mechi za nyumbani zote ataanza ilihali Gonzalo yupo?
 
Achana na huyo jamaa hajielewi, ukiona clip za CR7 kwa sasa utasikitika. Amekuwa comedian badala ya mchezaji. Astaafu ili asiendelee kujidhalilisha
Ukisema kwa sasa, specific unakuwa una maanisha kipindi gani?

Ups and downs kwenye mpira zipo na zinatokea kwa mchezaji yeyote bila kuchagua profile.

Messi aliwahi kutukanwa pale PSG ila wewe hili huwezi kulijua kwasababu sources zako za habari ni ESPN na Fabrizio.
FB_IMG_1790844957457.jpg
 
Ureno tatizo madogo wanajikuta wanajua sana kumbe ni vilaza tu
Ureno ni punda aliyembeba Yesu.

Na hivi kocha wao jina la mwisho ni Yesu basi wanajiona kweli wamepata Yesu.

It's time to hate watch these mf

1790857446292.png
 
In the 1966 world cup that was won by England, I can remember Portugal reached the semi finals after ousting the pre-tournament favourites and the then defending champions Brazil in the quarter finals.

At that time nobody knew that a player by the name Cristiano Ronaldo would one day be born in Portugal.

So your assertion is not true at all. Portugal was there before Ronaldo and it will even exist after Ronaldo has passed away and the same applies for Messi and his native Argentina.

We should stop the idol worshipping and instead cherish the beautiful game of soccer.

Kingeleza kingi lakini hakuna kitu
 
Ukisema kwa sasa, specific unakuwa una maanisha kipindi gani?

Ups and downs kwenye mpira zipo na zinatokea kwa mchezaji yeyote bila kuchagua profile.

Messi aliwahi kutukanwa pale PSG ila wewe hili huwezi kulijua kwasababu sources zako za habari ni ESPN na Fabrizio.
View attachment 3681832

Messi tokea aachane na barcelona hakuna sehemu aliyoweza kuonyesha uwezo wake hata robo
 
Kama Ronaldo hawezi ku offer kitu dhidi ya Gonzalo kulikuwa na sababu gani ya kocha kufanya makubaliano na Ronaldo kuwa mechi za nyumbani zote ataanza ilihali Gonzalo yupo?
Naona wanaofatilia Portugal huko washabiki wamekimbia CR 7 ana ushawishi sana aisee..
Cr katubeba sana Madrid na kaibeba Ureno pia ila sasa hivi Jazeera nguvu ni kitu cha kupita tu apumzike kwanza..
 
Back
Top Bottom