Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

View attachment 3681366

Cristiano Ronaldo amesema amefanya uamuzi wa kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno baada ya mkutano na waandishi wa habari wa kocha wa timu hiyo na mazungumzo ya moja kwa moja na Rais wa Shirikisho la Soka la Ureno.

Ronaldo amesema:


Ameongeza:


Ronaldo pia amewatakia kila la heri Ureno pamoja na wachezaji wenzake wote, bila kumtenga yeyote.

View attachment 3681365
A good dancer must know when to leave the stage. Hongera Messi, pole kwa Yoweri Mseveni hadi raia wanakukataa.
 
Jamaa astaafu tu hata uarabuni hana maajabu limebaki jina
 
Vichaa siku hizi ni wengi sana Mkuu, ile sifa ya kichaa kutembea uchi iliyokuwa ikiwatambulisha zamani siku hizi haifanyi kazi kabisa.

Vichaa wa siku hizi wanavaa vizuri, wanapendeza hawapitwi na fashion. Na simu janja wanamiliki.

Hawa ndio vichaa wa Genz.

Kama ukiwa unatumia kigezo cha mtu kuvaa nguo kama kipimo cha kujua sio chizi aisee utakuwa unapoteza muda.
Kinachoniudhi hawa timu Messi hawataki takwimu,tangu huyo mtu wao abebe kombe la Dunia hawazumgumzi tena mpira, mara hoo astaafu,sijui Mzee,hana kipaji ilimradi kujipooza.
Ila ki ukweli mioyoni mwao mziki wa Ronaldo wanaujua na ndio maana asipofunga wanashangilia,akipigwa sub wanaongea.
Inaniuma sana
 
MPIRA WA MTU MMOJA MMOJA UMEISHAAAA MESSI OVA RONALDO OVA WAPUMZIKE TUNAWAYAKIA KILA LA HERI ... I I MISS RIVALDO THOSE DAYS
 
Ww jamaa Nina mashaka na uelewa wako, nishakuambia ikitokea mtu mmoja akawa weak link timu nzima inayumba alafu Bado unaniuliza hili swali?
Logic ya swali langu hujaielewa.

Nimesema huyo unayemsema kama weak link na kwamba kaigharimu timu.

Kwanini siku ambayo timu inapata matokeo mazuri usim recognize kama best link aliyeisaidia timu na badala yake unataja kiujumla kuwa ni timu nzima kufifisha jitihada zake?
 
Kinachoniudhi hawa timu Messi hawataki takwimu,tangu huyo mtu wao abebe kombe la Dunia hawazumgumzi tena mpira, mara hoo astaafu,sijui Mzee,hana kipaji ilimradi kujipooza.
Ila ki ukweli mioyoni mwao mziki wa Ronaldo wanaujua na ndio maana asipofunga wanashangilia,akipigwa sub wanaongea.
Inaniuma sana
Kombe la dunia lenyewe alibeba kwa mambo mengi yaliyofanyika nje ya uwanja.

FIFA imekuwa ikimlinda sana Messi na kumtengenezea njia nyepesi wakati mwenzake ana struggle kufikia mafanikio.
 
Kwasababu nachukia corruption.
42013.jpg
 
Mkitaka kugundua effect ya Ronaldo tazameni mechi zijazo baada ya jamaa kuondoka kambini.

Kwanza tiketi zitauzwa kwa bei ya hasara na katika hao wachache wataoingia kutakuwa na mabango mengi ya kulaani hii dhihaka ambayo Portugal wanamletea CR7.

Ngoja nisubirie Ronaldo aseme yale waliyoongea pamoja na raisi wa shirikisho la Ureno.
"WE LOVE YOU JESUS" 🇵🇹❤️

The message from Portuguese supporters in the stands tonight.
IMG-20261002-WA0002.jpg
 
Wakati Ronaldo anafurushwa timu ya taifa kwa aibu the only and real GOAT anapewa degree ya heshima.
Screenshot_20261002-090311_Facebook.jpg


Scars anaweza kudhani hii taarifa ni AI.

#Ronaldo hachekeshi kama ni shabiki yake tu.
 
Usiongee kwa mihemko hiyo portugal ronaldo kaibeba mabegani since siyo timu tishio mpaka hapo ilipofika Anastahili Heshima yake tena kuba tu na sio huo upuuzi unaoendelea
Haiondoi ukweli kwamba Ana Ego kubwa sana huyu jamaa na ndio stambling block ya timu. Astaafu tu kwa sasa inatosha!
 
Haiondoi ukweli kwamba Ana Ego kubwa sana huyu jamaa na ndio stambling block ya timu. Astaafu tu kwa sasa inatosha!
Kipindi ameiweka portugal kwenye mabega yake ilikuwa Ego ile😂 kuna vikombe naweza sema bila Ronaldo portugal asingebeba labda kama mpira umeanza kushabikia juzi
 
Back
Top Bottom