Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Hapana kuna angle ambayo critics hamuitazami na hamuhanhaiki kuijadili.Amecheza boli kubwa sana wacha apumzike tu mkuu wachezaji wanaweza kupasha na wasiingie kocha anakua kichwa cha moto anawasahau walio benchi sema yeye anataka kuiendesha timu kisa kaifanyia makubwa hiyo sio sawa..
Ronaldo alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kustaafu National team.
Lakini maamuzi hayo yalikuja kubadilishwa sio kwa matakwa yake.
Hao watu mnawajua ni nani na wana influence gani na kwanini kipindi hicho hawakuona haya madhaifu ambayo nyinyi haters mnasema anayo?
Kwanini hili hamtaki kulijadili?