Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Bado ronaldo ni threat kwa timu ya upinzani kumbula watamkaba wachezaji wawili ili asiwe na effect badala yake wengine wanaachwa wakipata fursa za kufunga hiyo ni mbinu za kitaalamu
Timu imeshinda mechi mbili kisa kakaa Benchi anakasirika aisee yaani asicheze Ramos Gonzalo aanze yeye si utani huo kwenye soka la sasa hivi..
 
Bado ronaldo ni threat kwa timu ya upinzani kumbula watamkaba wachezaji wawili ili asiwe na effect badala yake wengine wanaachwa wakipata fursa za kufunga hiyo ni mbinu za kitaalamu
Hana madhara yeyote hakuna watu wawili wa kumkaba cr 7 sasa hivi ukiona wazungu wamekagua ngoma vizuri ujue wapo sahihi wao wanajua mpira kweli..
 
Timu imeshinda mechi mbili kisa kakaa Benchi anakasirika aisee yaani asicheze Ramos Gonzalo aanze yeye si utani huo kwenye soka la sasa hivi..
Mkuu ishu sio kuto kucheza. Y'all getting this wrong.

Hajawahi kuona shida yeye kukaa benchi na hata yeye alisema kuwa yupo tayari kukaa benchi.

Shida inakuja kwenye kuambiwa afanye warm up ya dakika 45 halafu haingii. That's big disrespectful.

Baada ya tukio hilo ikumbukwe kwamba kocha alimuomba msamaha Ronaldo na kuahidi ataenda public kuomba msamaha.

Lakini alivyokuja public ndio alizidi kumvunjia heshima kwa kutoa kauli ambazo kwa mtu yeyote mwenye akili lazima ujiskie vibaya.
 
Kwamba tunaweza bila ronaldo 😂😂😂 sio mbaya wapo nafasi nzuri kwenye kundi lao wapo nafasi ya kwanza kwa point 6 game ya leo ni ngumu kwa denmark
Unajua kuna watu wanawekeza kwa Ronaldo. Ile mechi kuna watu walimuwekea apige mashuti kadhaa lakini kocha akafanya undava wake jamaa mechi nzima hajacheza.
 
Hana madhara yeyote hakuna watu wawili wa kumkaba cr 7 sasa hivi ukiona wazungu wamekagua ngoma vizuri ujue wapo sahihi wao wanajua mpira kweli..
We jamaa hata mashabiki wa Messi hawafanyi hivi.

Wewe umepitiliza.

Naanza kukuona kama Mchome Mapovu

1790850204195.png
 
Mimi mwenyewe nilitamani iwe hivyo kwasababu niliziona dalili mapema za wachezaji wenzake kumtenga.

Sikujua kwanini aliendelea kuwapa imani hata baada ya yote yale kutokea.
Kweli kabisa, wachezaji wengi wa national team wamekuwa wanampuuzia legend Cr7 , hata kumpa pasi uwanjani kuna muda unaona kabisa wanambania, ni muda sasa wa yeye kupumzika kuchezea hii national team a focus na kutimiza magoli 1000
 
View attachment 3681366

Cristiano Ronaldo amesema amefanya uamuzi wa kuondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno baada ya mkutano na waandishi wa habari wa kocha wa timu hiyo na mazungumzo ya moja kwa moja na Rais wa Shirikisho la Soka la Ureno.

Ronaldo amesema:


Ameongeza:


Ronaldo pia amewatakia kila la heri Ureno pamoja na wachezaji wenzake wote, bila kumtenga yeyote.

View attachment 3681365
Ego, pia ngoma ikivuma sana hupasuka.
 
Jikite na siasa za bongo tu mkuu achana na mpira mimi ni mshabiki wa CR 7 ila kwa sasa wacha apumzike tu kama unataka kulinganisha na vijana fatilia mwenyewe utajua mpira huko mbele mkuu ila sio sasa..
Achana na huyo jamaa hajielewi, ukiona clip za CR7 kwa sasa utasikitika. Amekuwa comedian badala ya mchezaji. Astaafu ili asiendelee kujidhalilisha
 
Mkuu ishu sio kuto kucheza. Y'all getting this wrong.

Hajawahi kuona shida yeye kukaa benchi na hata yeye alisema kuwa yupo tayari kukaa benchi.

Shida inakuja kwenye kuambiwa afanye warm up ya dakika 45 halafu haingii. That's big disrespectful.

Baada ya tukio hilo ikumbukwe kwamba kocha alimuomba msamaha Ronaldo na kuahidi ataenda public kuomba msamaha.

Lakini alivyokuja public ndio alizidi kumvunjia heshima kwa kutoa kauli ambazo kwa mtu yeyote mwenye akili lazima ujiskie vibaya.
Amecheza boli kubwa sana wacha apumzike tu mkuu wachezaji wanaweza kupasha na wasiingie kocha anakua kichwa cha moto anawasahau walio benchi sema yeye anataka kuiendesha timu kisa kaifanyia makubwa hiyo sio sawa..
 
Back
Top Bottom