Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Corruption ,any proof kama ime exist?.Mpaka messi afike final.
Au ndo u tabula rasa,unalishwa vitu kulingana na fans.
Kwa kutumia hilo neno Tabula rasa bila shaka chuo ulipiga course ya education 😅🤣😂
 
Asiforce muda wake umeshaisha kama anapenda soka bado afungue academy yake afundishe simple tu jezi yake tumempa Raphael leó
 
Mkitaka kugundua effect ya Ronaldo tazameni mechi zijazo baada ya jamaa kuondoka kambini.

Kwanza tiketi zitauzwa kwa bei ya hasara na katika hao wachache wataoingia kutakuwa na mabango mengi ya kulaani hii dhihaka ambayo Portugal wanamletea CR7.

Ngoja nisubirie Ronaldo aseme yale waliyoongea pamoja na raisi wa shirikisho la Ureno.
Rudia tena kusoma huu ujinga wako

Hivi kabla hamjatoa coment huwa mnashirikisha ubongo kweli??
 
Back
Top Bottom