ATSprez
JF-Expert Member
- Jan 12, 2025
- 239
- 689
Mkuu lengo la timu ni kushinda mechi au kuuza tiketi na kufuata natakwa ya mashabiki?Mkitaka kugundua effect ya Ronaldo tazameni mechi zijazo baada ya jamaa kuondoka kambini.
Kwanza tiketi zitauzwa kwa bei ya hasara na katika hao wachache wataoingia kutakuwa na mabango mengi ya kulaani hii dhihaka ambayo Portugal wanamletea CR7.
Ngoja nisubirie Ronaldo aseme yale waliyoongea pamoja na raisi wa shirikisho la Ureno.