Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

Tatizo wengi mmeibukia tu kwenye hii taarifa kwasababu imeenda viral ila mambo mengi yalitokea kipindi cha nyuma hamkuwahi kuyafuatilia.

Jinsi ulivyo address ni kama Ronaldo ndio anayeitaka sana timu ya Taifa kuliko timu ya Taifa inavyomuhitaji.

Lakini ukweli haupo hivyo man.

Ronaldo aliombwa na raisi wa nchi yake asistaafu kuchezea timu ya Taifa kwasababu bado wanamuhitaji.

Natamani sana mnaofanya hizi judgment mngelijua hili mapema kabla ya kuanza kutoa nasaha.

Na kitendo alichokifanya Jorge Jesus hata yeye alikiri kuwa ni makosa na alimuahidi Ronaldo ataenda kumuomba radhi kwenye press conference.

Lakini haikuwa hivyo, badala yake kazidi kum-disrespect.
 
Ila ni muda sasa CR7 astaafu na aachane na timu ya taifa, apambanie tu sasa kufikia rekodi ya mabao 1000 ya soka la ushindani alafu atundike daluga apumzike
Mimi mwenyewe nilitamani iwe hivyo kwasababu niliziona dalili mapema za wachezaji wenzake kumtenga.

Sikujua kwanini aliendelea kuwapa imani hata baada ya yote yale kutokea.
 
Hakuwahi kusema hivyo, umemnukuu vibaya.

Alichokisema ni kwamba lile ndio kombe lake la dunia la mwisho na kuhusu kustaafu timu ya Taifa bado anafikiria.

Lakini Raisi wa Portugal baada ya kusikia jamaa yupo kwenye tafakuri ya kuamua mustakbali wa kuendelea kuitumikia timu yake ya Taifa akaona amuombe asistaafu kwasababu wao bado wanamuhitaji.

Hii ni tofauti na Messi. Messi alistaafu timu ya taifa mwaka 2016 lakini mwaka 2018 amecheza World Cup.

Mwezi uliopita tena kastaafu lakini tarehe 6 tumeambiwa atakuwa na timu yake ya Argentina akimenyana dhidi ya Benin.

Baada ya hapo tutaambiwa tena kastaafu.
 
Ila ukweli ni mchungu ni kwamba Ronaldo watu wanamkataa kwa sababu ya tabia yake ya kujiona yeye ndo yeye, la sivyo wachezaji wenzake wangeshmtetea. Wasingefika huku.
 
Ila ukweli ni mchungu ni kwamba Ronaldo watu wanamkataa kwa sababu ya tabia yake ya kujiona yeye ndo yeye, la sivyo wachezaji wenzake wangeshmtetea. Wasingefika huku.
Hivyo ndio namna Media imekuaminisha kuwa ipo hivyo na tayari umejaa.

Kama tutaanza hapa kujadili maswala ya tabia mbovu unadhani Messi atasalimika?
 
Kitu cha ajabu ni kwamba anaeanza anajua sana harafu eti akae bench acheze CR kwa sababu ya heshima hiyo hapana kocha yupo sahihi.
Tofautisha kati ya kujua na kuwa na less enemies.

Anayeanza sio anajua sana ila hana maadui wengi

Huyo anayejua sana stats zake za msimu uliopita zinasemaje tukim-compare na Ronaldo?

Kama huyo ndio anayejua sana mbona hamumlinganishagi na Messi unapokuja mjadala wa GOAT?
 
Tofauti ya kujua na kuwa na less enemies.

Anayeanza sio anajua sana ila hana maadui wengi

Huyo anayejua sana stats zake za msimu uliopita zinasemaje tukim-compare na Ronaldo?
Jikite na siasa za bongo tu mkuu achana na mpira mimi ni mshabiki wa CR 7 ila kwa sasa wacha apumzike tu kama unataka kulinganisha na vijana fatilia mwenyewe utajua mpira huko mbele mkuu ila sio sasa..
 
Jikite na siasa za bongo tu mkuu achana na mpira mimi ni mshabiki wa CR 7 ila kwa sasa wacha apumzike tu kama unataka kulinganisha na vijana fatilia mwenyewe utajua mpira huko mbele mkuu ila sio sasa..
Mimi sipo kwenye siasa ila ni mfuatiliaji tu.

Kama wewe ni shabiki wa Ronaldo, hivi unadhani Ronaldo yeye ndio analazimisha kuitumikia timu yake ya Taifa?
 
Kwahiyo leo denmark wanampiga mreno goli za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…