DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
π π€£πKwamba wewe hapa uliacha kuwa shabiki yake?View attachment 3682445
Kwa kutumia hilo neno Tabula rasa bila shaka chuo ulipiga course ya education π π€£πCorruption ,any proof kama ime exist?.Mpaka messi afike final.
Au ndo u tabula rasa,unalishwa vitu kulingana na fans.
Rudia tena kusoma huu ujinga wakoMkitaka kugundua effect ya Ronaldo tazameni mechi zijazo baada ya jamaa kuondoka kambini.
Kwanza tiketi zitauzwa kwa bei ya hasara na katika hao wachache wataoingia kutakuwa na mabango mengi ya kulaani hii dhihaka ambayo Portugal wanamletea CR7.
Ngoja nisubirie Ronaldo aseme yale waliyoongea pamoja na raisi wa shirikisho la Ureno.
Hamna mkuu,hili neno sir wa GS alikuwa analitumia kwetu sisi,ko nimelikariri.Kwa kutumia hilo neno Tabula rasa bila shaka chuo ulipiga course ya education π π€£π
Hamna mkuu,hili neno sir wa GS alikuwa analitumia kwetu sisi,ko nimelikaririKwa kutumia hilo neno Tabula rasa bila shaka chuo ulipiga course ya education π π€£π
View attachment 3682442
View attachment 3682443View attachment 3682444Shida unaangalia mpira kwenye pennaldofans edits na reels,hii si refa alikuwa analizimisha advantage ya lazima,mpira ulibidi ustop.