Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Wayahudi huwa wanasujudu,budha wanasujudu anyway Ronaldo akifunga huwa anaruka na siiiiiiiuuuuuu
 
Hebu angalia series za South Korea uone wanavyosujudu, halafu Uislamu umekuja juzi tu, Kwahiyo waislamu mmewaiga Wakorea?
 
Cc FaizaFoxy
 
Kumbe kuna magoli huwa sio muhimu[emoji16][emoji16]
 
Kama usemayo ni kweli huoni kuwa kajirekebisha kwa vitendo? Hongera kwake.
Walimtaka aombe radhi hadharani kwa kushika nyeti zake akagoma, mashabiki wakafura. Hii ndiyo radhi anaomba hivyo
 
Sasa isingekuwa kisa pesa angeenda kucheza mpira Soudi Arabia? Au hajafata pesa kule?
Hiyo ni kazi yake haitaji kusujudu ili apate pesa. Anajua kwanini kafanya hivyo ila sio kwa lengo la kupata pesa.
 
Imani zimekufanyeni kua wajinga sana, kusujudu hata mkristo anaweza kusujudu, ni ishara tu ya unyenyekevu kwa MUNGU, watoto wa mjomba mnaigeuza kua ni imani
 
Kwamba Wakristo huwa hawasujudu?
Never ,ingawa yesu alikuwa akisali kwa kusujudu, wakristo kazi yao kuimba tu nipo hapa kwenye bus zambia huyu sijui ndio mchungaji anaimba tu na kurusha mate na kuwadanganya kuwatabiria ,hawa jamaa wapo nyuma sana
 
Imani zimekufanyeni kua wajinga sana, kusujudu hata mkristo anaweza kusujudu, ni ishara tu ya unyenyekevu kwa MUNGU, watoto wa mjomba mnaigeuza kua ni imani
Kama unajua ni unyenyekevu kwa mungu inakuwaje ukienda kusali huwa usujudu unaishia kupiga sebene kila jumapili
 
Mreno na uislamu wapi na wapi
 

sasa mapaja ya mwanaume yana impact gani aisee.

Mbna dini yenu ya hovyo

MUNGU hakuumba dini ila mnajiona wasafi sana nyie mnyaazi
 
FaizaFoxy Kwani wakristo hawamsujudu Mungu wao??

Alichofanya Ronaldo hakina tofauti na walichafanya hawa Wana wa Israel katika Kutoka 4:31
"Watu wakaamini, na waliposikia ya kuwa Bwana amewajilia wana wa Israeli, na ya kuwa ameyaona mateso yao, wakainama vichwa vyao wakasujudu." Kutoka 4:31

Ronaldo kumsujudia Mungu ni jambo la kushangaza au jambo jipya kweli?
 
Ndio uone kuwa wakristo wa sasa hawafuati mafundisho ya yesu bali sanaa za mzungu , ndio maana hata makanisani hawasujudu bali wanaenda kuimba
 
Hii dini inabidi ifanyiwe reform wavaa kobazi uchwara kama hawa wasiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…