Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Furaha iliyopitiliza hufanya mtu jufanya vitu ambavyo si vya kawaida
Kweli kabisa, ni vyema furaha yake imetufurahisha zaidi
Hatutaki mashoga kwenye dini yetu,huyo mwamba analiwa mattercle
Mradi kaanza kusujudu, aliyemsujudia atamwongowa, usiwe na hofu.

In Shaa Allah na wewe "maweed" yatakusannif usujudu.
 
Kusujudu ni utamaduni wa kawaida wa kiarabu, hata wabagani wa kiarabu husujudu, waarabu wengine wengi husujudu wakipewa pombe nk.

Unamsujudiaje mwenyezi mungu ukiwa kwenye mchezo wa kikafir kama mpira?
Unamsujudiaje Allah ukiwa umevaa bukta na mabaja yakionekana?

Jamani embu tuacheni kuchafua imani za watu.
 
Kweli mzubgu si nwenzagu, iiipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.
Anasilumu kuwa Dhehebu gan ,Shia,Sunni, Ahmadiya,n.k ?
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Miaka ya nyuma akicheza Madrid kuna tetesi zilivumishwa na wafuasi wenunkuwa Ronaldo kaolewa na Mmoroco na picha zikasambazwa akiwa na Mmoroco wake. Tuombe uzima hili nalo liwe kweli....sijui watamkata kichwa kwa tuhuma zake za huko nyuma😂😂

View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
🗣️ Takbiiiiiiiir! Takbiiiiiir!
 
Kweli mzubgu si nwenzagu, iiipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.
Panapo majaliwa, atasilim tu! Na mke wake pia Georgina, pamoja na watoto wao wote watasilim tu. InshaAllah!
 
Back
Top Bottom