Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

Tatizo mashabiki wa Ronaldo mna kelele sana huwa mnapaniki sana.

Sisi tulingoja hili kombe ili tufunge mjadala.

Tuliwavulia sana

Kwa Sasa hatuhitaji tena mjadala na nyie tumeshafunga ukurasa.

Saivi mkaanza kukimbizana na mashabiki wa Mbapenalty.
Mm sio shabiki wa Ronaldo sababu ya tabia zake za kutaka uspecial esp kipindi hichi cha mwisho wake wa Soka, ukiniuliza nani anastahili kuingia kwenye rikodi ya kina Pele kabla hata ya kombe la dunia nitakujibu Messi. Huyu jamaa akishika mpira anafanya jambo la tofauti na unaliona. Ila mashabiki naona mnakosea sana kila mnapomtaja mnaambatanisha na Ronaldo, hapa mnayaambatanisha mafanikio yake na Ronaldo, historia yake haiwezi muacha CR7 nyuma. MessiCR7
 
Tulinanga na nani? Umenangana na vijana wenzako kijiweni unajumuisha watoa maoni wote duniani.
 
Hamna anaepinga hilo. Lakini pia bila magoli ya Messi na Di maria hata hayo matuta wasingefika ndio maana ikaitwa team ushindi sio wa mtu mmoja bali team kwa ujumla
Kipa kuna michomoko ya kikatili alikuwa anaitoa hamappreciate nyie mnakomaa na messi wakati kwenye hili kombe kazidiwa hadi na Mbappe.
 
Naona mnamtaja messi tu as if yeye ndio aliokoa michomo ya france
Kila MTU kaplay part yake katika kuufikia huo ubingwa.....huwezi ukamsifia messi peke yake au emi Martinez peke yake..

Wote wamepambana Ila mjadala humu ni messi dhidi ya ronaldo ndio maana messi anatajwa.
 
Mwaka 2002, Gaucho akiwa kwenye skwadi la Brazil walibeba NDOO ya Dunia

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kama Ronaldo kachelewa kutoka kwenye ramani ya mpira ni ushahidi tosha hamfikii Messi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kila MTU kaplay part yake katika kuufikia huo ubingwa.....huwezi ukamsifia messi peke yake au emi Martinez peke yake..

Wote wamepambana Ila mjadala humu ni messi dhidi ya ronaldo ndio maana messi anatajwa.
Basi kama ni hivi mjadala ufungwe kwa sababu hauna maana cr7 ni winga na messi ni foward ila cr7 ana magoli mengi na mvuto sio babu wenu aliebebwa na kipa.
 
Naona unahamisha magoli, kwanza tumekubaliana kuwa Messi ndo G.O.A.T?
Kama tumekubaliana tuhamie kwa Gaucho sasa.
 
Kama Ronaldo kachelewa kutoka kwenye ramani ya mpira ni ushahidi tosha hamfikii Messi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Hujaelewa hata nilichoandika yaani njia alizopita Ronaldo kwenye safari ya mpira ni tofauti na alizopita messi sasa sporting Lisbon inafanana na Barcelona.
 
Mbape ni promising future of football
 
Hujaelewa hata nilichoandika yaani njia alizopita Ronaldo kwenye safari ya mpira ni tofauti na alizopita messi sasa sporting Lisbon inafanana na Barcelona.
Wewe ndio huna hoja kabisa, kwani ni wangapi wamepita hapohapo Barcelona lakini hawajawa sawa na Messi? Hoja yako ni sawa na kuwakuta matajiri wawili uanze judge njia walizopita halafu uconclude kwa kusema tajiri fulani ni Bora. Kwanini huyo Ronaldo wako hakwenda hapo Barcelona???

Kila mmoja anayo njia yake ya kufanikiwa. Hoja yako ni ya kidwanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…