Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Mm sio shabiki wa Ronaldo sababu ya tabia zake za kutaka uspecial esp kipindi hichi cha mwisho wake wa Soka, ukiniuliza nani anastahili kuingia kwenye rikodi ya kina Pele kabla hata ya kombe la dunia nitakujibu Messi. Huyu jamaa akishika mpira anafanya jambo la tofauti na unaliona. Ila mashabiki naona mnakosea sana kila mnapomtaja mnaambatanisha na Ronaldo, hapa mnayaambatanisha mafanikio yake na Ronaldo, historia yake haiwezi muacha CR7 nyuma. MessiCR7Tatizo mashabiki wa Ronaldo mna kelele sana huwa mnapaniki sana.
Sisi tulingoja hili kombe ili tufunge mjadala.
Tuliwavulia sana
Kwa Sasa hatuhitaji tena mjadala na nyie tumeshafunga ukurasa.
Saivi mkaanza kukimbizana na mashabiki wa Mbapenalty.