Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Shida kuna waajemi pia hawataki utawala wa kiislam wanataka nchi irudi kama zama za kabla ya mapinduzi ya kiislam,, nchi ilikua huru,,,,......Unajidanganya Ayatollah hawezi kuacha huo mpango anajua anazubaishwa kama Sadam. Waajemi wana akili kuliko mlivyowazoea waarabu hapo bado kazi ipo