Cryogenically Frozen: Sehemu zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki

Yaani hiyo clonin ya sterm cell ndiyo ifanye viungo vyote in short period na kumpa uhai mtu
 
Sikuwahi kufahamu kumbe mtu anaweza kuota ndoto ndefu kama hii akiwa hajalala duuh
 
Hapa sijakuelewa, Mwanzo umesema ni jambo linaweza likaja kufanikiwa ila kwa kuchelewa,
Lakini hapa unasema Wacko Jacko alifanyiwa hivyo,
 
Hapo kwa walt disney umetuongopea hakuhifadhiwa kwenye hayo madude. Amezikwa kaburini kama wengine.
 
Nitrogen ina kazi gani kwenye kuhifadhi hio miili
 
Kwa wafia dini "akili za kushikiwa" katu hawataelewa chochote humu
 
๐—š๐—ฒ๐—ฟ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐˜†๐—ผ



Kuna siku niliwaambia kuhusu watu kutaka kugandisha miili ya watu iliyokufa na kutaka kuifufua miaka ijayo, hatimaye Nchi ya Germany imeanza Rasmi kazi hii ya kugandisha miili na kuifufua.

Uanziishaji huo wa cryonics Berlin ambapo wamelipa jina la Tomorrow Bio, inatoa huduma ya kuhifadhi mwili wako kwa ada ya Dola $200,000.



Kampuni Hiyo imefanikiwa kuwavutia wateja zaidi ya 650 tayari wameshasajiliwa na kuendesha huduma hii maalum ili kuanzisha mchakato wa kuhifadhi cryopreservation haraka iwezekanavyo.

Lengo lao ni kuwezesha wale watu watakaokufa kuweza kugandisha miili yao na kufufuliwa tena miaka ijayo.

 

Attachments

  • 1.png
    1.4 MB · Views: 1
Umesema kuna siku ulituambia.
Kweli kuna makampuni wanaogandisha watu duniani na moja kubwa na ya kwanza iko Arizona inaitwa Alcor
Hawa wanagandisha miili kwa ajili ya baadae technology ikifika kuamsha watu kutoka kuzimu waamshwe ๐Ÿ˜„
Ila wapo watu wanaofika 500 tayari wamehifadhiwa kwenye hewa maalumu duniani
Cryosleep ya US wapo 300 na Russia wanafika 50 na huku Ulaya zaidi ya mia
Kuna watu wanalipa in advance wakifa wahifadhiwe humo wakiamini wataamka siku moja kwa kasi ya technologies hizi
Mimi nikienda niende tu aisee kuliko kuganda kama movie ya Terminator
 
Hadithi za Sukununu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ