Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kivipi?Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Hilo ni tumaini hewa mkuu.CCM ishakufa
Chadema tunachukua nchi
Kwamba unakiri kuwa Lisu yuko ndani si kwasababu ana makosa bali kama kete ya kuilazimisha Chadema itende kama CCM itakavyo.- wewe ni mpumbavu I am not sorry to write that.Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Kwenye kipengele gani?Kivipi?
Embu fafanua.
Lissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha hecheKwamba unakiri kuwa Lisu yuko ndani si kwasababu ana makosa bali kama kete ya kuilazimisha Chadema itende kama CCM itakavyo
Michezo hiyo ya kipumbavu huwa namfanyia mamako!!wewe ni mpumbavu I am not sorry to write that
Bandiko lako lote.Kwenye kipengele gani?
Chadema kususa hakumanishi mfumo wa vyama vingi haupo!! Uchaguzi wa october 2025 vyama 18 vya siasa vilishiriki so mfumo huo tunauishi kwa vitendo!!Shaurianeni huko CCM muondoe mfumo wa vyama vingi na dunia itawaelewa. Inatufaa nini kama taifa kubeba gharama za mali na uhai wa watanzania wenzetu kwa kukumbatia mfumo ambao hatuko tayari kuuishi????
Ni watanzania wangapi wapo magerezani kwa makosa yao?, kwanini hawaombewi misamaha?? .. mnakomaa na Lissu ili iweje?. Kama anayo makosa acheni awajibike kwa makosa yakeLissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche
Huyo mamenu mwenye huruma na mnafiki wa kukomaa na mkosaji mmoja na kuwaacha wengine magerezani.Michezo hiyo ya kipumbavu huwa namfanyia mamako!!
Demonstration ya unafiki na kutokujiamini.Chadema kususa hakumanishi mfumo wa vyama vingi haupo!! Uchaguzi wa october 2025 vyama 18 vya siasa vilishiriki so mfumo huo tunauishi kwa vitendo!!
Zama zimebadilika, shetani anasifiwa kwa lazima kuliko MunguLissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche