CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

Siyo mahakama uhaini alikuwa anafanyiwa yeye na serikali yake, so far mission aliizima na binafsi yake iko tayari kusamehe!! So yanazungumzika
Asamehe yeye kama nani?

Yeye ndiye hakimu , yeye ana uelewa gani wa sheria?

Je alipoitwa mahakamani kutoa ushahidi wa tuhuma zinazomkabili Tundu Lisu alifika?
 
Lissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche
Iwapo Lisu mwenyewe haombi msamaa kwa kuwa anaamini\anajua hana kosa hilo wanalomtuhumu kwalo, Je Heche anaingiaje hapo na kumsema ana kiburi? Au ni propaganda za kumfifisha na kumfitinisha Heche na wananchi?
 
Soma post 64 majibu yako nimeyaweka hapo
 
Back
Top Bottom