CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

Ninayo ndoto kwamba, miaka sio mingi ijayo hivi tunavyoita vyama vya siasa, havitakuwepo kwani vimepoteza maana ya uwepo wake.

Ninayo ndoto kuwa huko mbele, kutakuwa na movements badala ya vyama hivi na itachochewa na vyama vya sasa kushindwa kukabiliana na mahitaji ya vijana hasa wanaoitwa leo kuwa wa sekondari za kata.
 
Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Heche hajasababissha na hatasababisha chadema kufa, mbinu zenu za kuwakamata viongozi wao na kuwateka kisa nyinyi msipate upinzani kutoka Chadema ndio udhaifu wenu wakutumia vyombo vya dola. Hebu fanyeni siasa safi za ushindani na chadema bila ya hizo nguvu za vyombo vya dola halafu njoo utuoneshe wapi chadema imekufa.

Ccm kihoja hamwezi, hoja zenu ni kuamrisha vyombo vya dola. Mfano wa hayo ni...
20250223_162944.jpg
20250324_102827.jpg
hapa yote ni kuzuia chadema.
Screenshot_20250405_004444_X.jpg
huyu ni polisi akiingiza kura fake alizopewa na viongozi wa ccm.
Screenshot_20250415_093714_X.jpg
afisa wa jeshi ametumia uafisa wake kuifanya ccm kushinda na sio kwa ushindani.
 
Hapa nadhani umeona umecheza bonge la mindgames. Cdm haikupanda baada ya CUF kufubaa, bali cdm ilipanda toka CUF ikiwa na nguvu. Ifahamike nguvu ya CUF ilikuwa Znz, wakati cdm ni Tanganyika. Cdm toka ilipopanda 2010 haikuwahi kushuka na sasa iko juu sana, ndio maana inafanyiwa hujuma za wazi na dola, ila hilo limeshindikana. Jipange upya uaendike propaganda yako, hapa umefail vibaya.
Una miaka mingapi?
 
Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Wacha ujinga wewe! Kwani Heche ndio alomuweka Lisu ndani. Chadema kweli Manyumbu, yanaimbishwa imbishwa tu.
 
Kama Vyama vya siasa vikifa yataibuka makundi ya Uasi.

Moja ya jambo la hatari CCM inataka kujaribu ni kesi ya Tundu Lissu
 
Lissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche

Aliwatuma hao wa mwombee msamaha au ni waliamua kufanya kwa mapenzi Yao bila kumuuliza lissu? Kama walifanya ivyo huoni ni kosa?
 
Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza na kuwa cha cha upinzani chenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa wananchi.

Nasikitika kuona yanayoendelea nchini , viongozi wa ngazi ya juu wa chadema wenyewe kwa wenyewe hawaelewani na wanazodoana laivu kwa wananchi ni ishara tosha humo chamani hakuna amani tena wala mshikamano na dira ya chama ndio maana walishindwa kuyamaliza ndani ya chama na wakayaleta kwa wananchi kuzodoana na kunyoosheana vidole .

Ila yote haya nadhani mwenda zake kwa namna moja au nyingine amechangia kukididimiza na kukififisha hichi chama , hawa wengine walioingia madarakani ni kama wanakamilisha alichoanzisha mwenda zake.

Na kama na hiki chama kitapotea kwenye ramani , itachukua muda mrefu sana hapa nchini kupata chama cha upinzani chenye nguvu.
Ukiinuka si tunakaa ,ukipotea kwetu furaha ,adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa-Afande Sele

Tatizo Njaa - Hashim Rungwe

Masikini hana kiapo - Askofu Maboya
 
Aliwatuma hao wa mwombee msamaha au ni waliamua kufanya kwa mapenzi Yao bila kumuuliza lissu? Kama walifanya ivyo huoni ni kosa?
Akina Alute na familia ya lissu kwa ujumla since day one walitaka lissu awe huru na dr samia hakuwa na kinyongo shida ikaletwa na heche!!
 
Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza na kuwa cha cha upinzani chenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa wananchi.

Nasikitika kuona yanayoendelea nchini , viongozi wa ngazi ya juu wa chadema wenyewe kwa wenyewe hawaelewani na wanazodoana laivu kwa wananchi ni ishara tosha humo chamani hakuna amani tena wala mshikamano na dira ya chama ndio maana walishindwa kuyamaliza ndani ya chama na wakayaleta kwa wananchi kuzodoana na kunyoosheana vidole .

Ila yote haya nadhani mwenda zake kwa namna moja au nyingine amechangia kukididimiza na kukififisha hichi chama , hawa wengine walioingia madarakani ni kama wanakamilisha alichoanzisha mwenda zake.

Na kama na hiki chama kitapotea kwenye ramani , itachukua muda mrefu sana hapa nchini kupata chama cha upinzani chenye nguvu.

Chadema haiwezi kufa ina wanachama karibu milioni kumi wenye msimamo! Chama sio hao viongozi wacgache ni wanachama
 
Kwa sasa hata ikifa CHADEMA upinzani dhidi ya udhalimu wa bi kidude na genge lake umehamia moyoni mwa watu.

CHADEMA ni kama jukwaa tu la kuwakutanisha watu ila upinzani uko moyoni mwa watu , ingekua rahisi kidogo kuiua CHADEMA ile ya Mbowe hasa baada ya kuona walipokosa uongozi walikua ni watu walioficha tabia zipi , ila hii ya sasa ukiwa dalali utajitoa tu na kwa mtindo huu chama kimefikia saturation point ya kutokubali kuendeshwa kwa mapesa yasiyojulikana yanatokea wapi.
 
Back
Top Bottom