CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

Siyo kweli. CUF ilikuwa na nguvu Zanzibar, siyo Tanganyika. Chama kilichokuwa na nguvu Tanganyika nyakati za CUF ni NCCR.
 
Zama zimebadilika, shetani anasifiwa kwa lazima kuliko Mungu
Heche kamuua bro wa lissu kwa stress, jitahada za lema kunusuru shingo ya lissu mnamuona msaliti, Heche anasherekea kifungo cha lissu ili awe Mwenyekiti wa kudumu afaidi vizuri madili ya tonetone.
 
Hata magu alitamani chadema ife matokeo yake akafa yeye chadema ikazidi kukua hadi sasa kugeuka kuwa chama kikuu cha kisiasa chenye ushawishi kwa wananchi kuliko chama kingine chochote wakiwemo chama dola (ccm)!.
 
Siyo kweli. CUF ilikuwa na nguvu Zanzibar, siyo Tanganyika. Chama kilichokuwa na nguvu Tanganyika nyakati za CUF ni NCCR.
Nccr ilikuwa na nguvu kipindi cha Mwinyi na mwanzoni mwanzoni kipindi cha mkapa baada ya hapo kikapotea mazima.
 
NCCR ilidominate from 1992 to >2000. 2000 to 2007 ilikuwa ni era ya CUF chini ya Prof Lipumba. Unakumbuka 2005 Lipumba alisusia kuapishwa kwa Kikwete?
Ndicho nilichomwambia pia.

Nccr iling'ara kipindi cha Mwinyi na mwanzoni mwa kipindi cha Mkapa.
 
Hapa nadhani umeona umecheza bonge la mindgames. Cdm haikupanda baada ya CUF kufubaa, bali cdm ilipanda toka CUF ikiwa na nguvu. Ifahamike nguvu ya CUF ilikuwa Znz, wakati cdm ni Tanganyika. Cdm toka ilipopanda 2010 haikuwahi kushuka na sasa iko juu sana, ndio maana inafanyiwa hujuma za wazi na dola, ila hilo limeshindikana. Jipange upya uaendike propaganda yako, hapa umefail vibaya.
 
Lissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche
nimecheka kwa nguvu vibaya, chawa bana. Naona mkisema akina Lema wanamuombea msamaha Lisu ndio mtatupoteza maboya. Lisu amesema hataki msamaha anataka haki itendeke, msamaha mpeni Mbowe ndio anafanya siasa za hadaa. Wajinga ndio huwa wanaomba msamaha kwa viongozi waovu na wauaji.
 
CHADEMA ilishapitia makubwa kuliko haya ila haikufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…