johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,263
- 1,753
Heche hajasababissha na hatasababisha chadema kufa, mbinu zenu za kuwakamata viongozi wao na kuwateka kisa nyinyi msipate upinzani kutoka Chadema ndio udhaifu wenu wakutumia vyombo vya dola. Hebu fanyeni siasa safi za ushindani na chadema bila ya hizo nguvu za vyombo vya dola halafu njoo utuoneshe wapi chadema imekufa.Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Una miaka mingapi?Hapa nadhani umeona umecheza bonge la mindgames. Cdm haikupanda baada ya CUF kufubaa, bali cdm ilipanda toka CUF ikiwa na nguvu. Ifahamike nguvu ya CUF ilikuwa Znz, wakati cdm ni Tanganyika. Cdm toka ilipopanda 2010 haikuwahi kushuka na sasa iko juu sana, ndio maana inafanyiwa hujuma za wazi na dola, ila hilo limeshindikana. Jipange upya uaendike propaganda yako, hapa umefail vibaya.
Wacha ujinga wewe! Kwani Heche ndio alomuweka Lisu ndani. Chadema kweli Manyumbu, yanaimbishwa imbishwa tu.Heche anaua chadema kwa kasi ya ajabu sana, bro wa lissu kafariki sababu ya kiburi cha Heche, na lissu kesi imemkalia kooni akina lema wanafight kumnusuru lissu, ajabu Heche hataki!!
Umri mkubwa kuliko mfumo wa vyama vingi hapa nchini.Una miaka mingapi?
Lissu yupo ndani kwa makosa yake ya kuchochea machafuko ya mo29!!Kwani Heche ndio alomuweka Lisu ndani.
Lissu yupo ndani ana kosa kubwa mno, kina lema wamemuombea msamaha na rais samia kwa vile ni mwingi wa huruma anajikuta anashindwa kumsaidia Lissu sababu ya kiburi cha heche
Ukiinuka si tunakaa ,ukipotea kwetu furaha ,adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa-Afande SeleChama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza na kuwa cha cha upinzani chenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa wananchi.
Nasikitika kuona yanayoendelea nchini , viongozi wa ngazi ya juu wa chadema wenyewe kwa wenyewe hawaelewani na wanazodoana laivu kwa wananchi ni ishara tosha humo chamani hakuna amani tena wala mshikamano na dira ya chama ndio maana walishindwa kuyamaliza ndani ya chama na wakayaleta kwa wananchi kuzodoana na kunyoosheana vidole .
Ila yote haya nadhani mwenda zake kwa namna moja au nyingine amechangia kukididimiza na kukififisha hichi chama , hawa wengine walioingia madarakani ni kama wanakamilisha alichoanzisha mwenda zake.
Na kama na hiki chama kitapotea kwenye ramani , itachukua muda mrefu sana hapa nchini kupata chama cha upinzani chenye nguvu.
Kuomba msamaha inamaanisha una halalisha kosa lako.Aliwatuma hao wa mwombee msamaha au ni waliamua kufanya kwa mapenzi Yao bila kumuuliza lissu? Kama walifanya ivyo huoni ni kosa?
Hakika.Kama Vyama vya siasa vikifa yataibuka makundi ya Uasi.
Moja ya jambo la hatari CCM inataka kujaribu ni kesi ya Tundu Lissu
ChaiLissu yupo ndani kwa makosa yake ya kuchochea machafuko ya mo29!!
ChaiUmri mkubwa kuliko mfumo wa vyama vingi hapa nchini.
Akina Alute na familia ya lissu kwa ujumla since day one walitaka lissu awe huru na dr samia hakuwa na kinyongo shida ikaletwa na heche!!Aliwatuma hao wa mwombee msamaha au ni waliamua kufanya kwa mapenzi Yao bila kumuuliza lissu? Kama walifanya ivyo huoni ni kosa?
Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza na kuwa cha cha upinzani chenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa wananchi.
Nasikitika kuona yanayoendelea nchini , viongozi wa ngazi ya juu wa chadema wenyewe kwa wenyewe hawaelewani na wanazodoana laivu kwa wananchi ni ishara tosha humo chamani hakuna amani tena wala mshikamano na dira ya chama ndio maana walishindwa kuyamaliza ndani ya chama na wakayaleta kwa wananchi kuzodoana na kunyoosheana vidole .
Ila yote haya nadhani mwenda zake kwa namna moja au nyingine amechangia kukididimiza na kukififisha hichi chama , hawa wengine walioingia madarakani ni kama wanakamilisha alichoanzisha mwenda zake.
Na kama na hiki chama kitapotea kwenye ramani , itachukua muda mrefu sana hapa nchini kupata chama cha upinzani chenye nguvu.
SawqChadema haiwezi kufa ina wanachama karibu milioni kumi wenye msimamo! Chama sio hao viongozi wacgache ni wanachama
Kwani Samia yeye ndiye mahakama?Akina Alute na familia ya lissu kwa ujumla since day one walitaka lissu awe huru na dr samia hakuwa na kinyongo shida ikaletwa na heche!!
Wee mbweha katika kitu hatutafanya ni kupigia magoti mashetani. Hicho msahau!Heche kamuua bro wa lissu kwa stress, jitahada za lema kunusuru shingo ya lissu mnamuona msaliti, Heche anasherekea kifungo cha lissu ili awe Mwenyekiti wa kudumu afaidi vizuri madili ya tonetone.