CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

Acha kukariri dogo.

Vijijini ndio mlikuwa mnaanza shule na miaka 60 hiyo, mijini kuanza la kwanza na miaka 4 au 5 kawaida sana
Labda mliozaliwa 90s au 2000s,ila tuliozaliwa 70s huwezi kuanza darasa la kwanza na miaka 4,enzi hizo mtu una miaka 10 unadhani watoto wananunuliwa hospitali,siku hizi mtoto wa miaka 10 anajua hadi kurun codes za computer programs
 
kwenye uzi fulani kuna mtu alidai ana masters ya international relations and politics blah blah blah.....
sasa kama mtu una kidiploma tu na Mungu amekujalia unafanya kazi kwenye shirika kubwa la kimataifa, kisha unaacha kazi kirahisi tu bila kuwaambia ukweli kuhusu kielimu chako wasije wakakutosa baharini?!!
 
Ndio maana nikasema huyu mzushi kaandika uzushi tu hamjui hamfuatilii hamfahamu hata page yake haijui wakati alipomaliza tu alipost na alipewa hongera Ila huyu dudumizi anasema eti ana certificate tu wivu wa watufeki ni mbaya sana
Due deligence zimebaini vyeti vya mchongo vile,ulaya kuna degree za mchongo sana
 
Chuki ya nini wandugu kuna watu mna chuki mbaya sana wabongo ndio maana umeme umegoma kuwaka chuki chuki chuki hata zisizo na sababu TANESCO endeleeni kuzima umeme tu
 

Haha ha ha Jf ni Zaid ya Good
 
Ana masters ila sio hiyo dip unayodanganywa
 
Ndio maana nikasema huyu mzushi kaandika uzushi tu hamjui hamfuatilii hamfahamu hata page yake haijui wakati alipomaliza tu alipost na alipewa hongera Ila huyu dudumizi anasema eti ana certificate tu wivu wa watufeki ni mbaya sana
Husuda
Husda
Hasadi


Hasidi anapohusudu ni zaidi ya MCHAWI.......

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…