CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

Wewe umeangalia Kwa upande 1 Tu, haujaangalia Kwanzia #1 mpaka kushuka chini,

Laiti ungejua kikamilifu CVs zao , basi siku hiyo ungelia Sana.
 
Kigoma Kuna vipaji.mbona wengine wanatembea peku na ndio washauri wa serikali tumekaa kimya.
 
Watu wenye mioyo ya kimasikini utawajua Tu Kwa mawazo Yao.... CV ya kikeke itakusaidia nini ? Serikali kuna Hadi darasa la Saba wapo wanafanya kazi sembuse kikeke!!!
Kuna wabongo wana chuki mbaya sana yaan wanaroho za mkaangasumu rohozakorosho kabisa jamaa wanasaga kunguni sio kawaida alafu wanavyoupamba uzushi uonekane km ukweli
 
Ni Mimi ndio sielewi ama nini? Yaani wazungu wakakubali kuajiri mtu asiye na vyeti?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe mleta mada ,upo na akili kweli ,kama hata ulichokiandika hakiendani na hesabu ulioweka kwa nini tusiseme umelata umbea?

Unasema uchunguzi umebaini ana miaka 50+
Unasema amezaliwa mwaka 1978 sasa achana na iyo plus

2023-1978=45yrs, yani hata iyo 50yrs hajafika,

Alafu ukute upo ofisi ya uma na unategemewa kama mtu makini
 
Kuanza shule mapema siyo sababu

Hoja nyingine za hovyo sana
 
Wewe ndio hujaelewa mada ni kwamba kimantiki amezaliwa 1973 kushuka chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…