CV ya Kikeke ina Ukakasi hawezi kuajiriwa serikalini, alianza darasa la kwanza na miaka 4

BBC walikuwaje wakamchukua?

Watanzania mna ushubwada mwingi sana. Mavyeti vyeti ndo yametufikisha hapa kwemye mkwamo. Wenye akili wanaangalia uwezo na siyo mavyeti ambayo hata pets wanaweza kuwa nayo
Msanii bora wewe umeona ujinga uliowajaa watu. Wanasumbuka na vyeti badala ya ujuzi, uzoefu na uwezo wa mtu. Ndio maana imefikia hatua watu kama akina Musukuma, babu Tale na wengineo wanunua PhD.

Hata hivyo Kikeke hajawatangazia kuwa aliacha kazi BBC kuja kutafuta ajira serikalini wala hajalalamika popote!!
 
Wanajitekenya na kucheka wenyewe🤣
 
Haya tunayoyaona humu ndio maisha halisi ya waTanzania huko maofisini, mitaani na sehemu zingine zinazoishi waTanzania kwa wingi........ki ukweli hali inatisha........sana......
 
Dah! Ila nyie binadamu nyie! Kikeke we komaa kitaa ujiajiri bro! Check na motivational spaeker au soma kitabu Cha Robert Kyosak faster tu unatoboa *****
 
Huyo ni mkuu wa mawasiliano. Tusogezee na CV za maafisa wengine wa serikali ukianzia juu Hadi Kwa mawaziri.
 
Unafahamu kitwa kinaitwa acceleration?
Siyo ile ya physics lkn,nina maanisha kwenye elimu.
 
BBC walikuwaje wakamchukua?

Watanzania mna ushubwada mwingi sana. Mavyeti vyeti ndo yametufikisha hapa kwemye mkwamo. Wenye akili wanaangalia uwezo na siyo mavyeti ambayo hata pets wanaweza kuwa nayo
Mkuu,

Kila siku huwa nasema kwamba,

Waafrika hasa watanzania wana laana.

Wanachoweza ni umbea, Majungu,chuki na visirani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…