Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Kwa hiyo unamaanisha mtu mwenye div 1 ndio mwenye mabadiliko?!!au ndiyo anajitambua?😲😲,ebu ichunguze Dunia,Kuna Elimu zaidi ya hii ya DARASANI/SHULENI.Sasa mbona hiyo kada haibadiliki,hata kudai haki zao hawawezi,wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Mkuu wewe kufaulu unaona lazima iwe daraja la 1 tu?I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Walimu ndio wafanyakazi wengi kuliko idara nyingine ya serikali ikifuatiwa na sector ya wakiamua kugoma impact yake itatikisa.Idara gani nchi hii iliwahi kudai na kupata hizo haki? Kama una akili timamu Rais Mwinyi alienda kuangalia mpira wakati madaktari Mhimbili wamegoma. Na hata baada ya hapo kilichoendelea unakijua?
Hivi hajawa kichaa huyu???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi Mrema atastaafu lini ?
Labda walimu wa grade A walimu wa primary hao naweza kukubalina na wewe ila sio walimu wa sekondary ,I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Acha dharau wewe one zipo za kutosha kada ya ualimusidhani , form gani waliingia nayo pale?
Ni sahihi lawama kutupiwa mwalimu maana ndie baba na mama wa kila kada ,hata wewe hapa unawadharau walimu ambao ndio wamekulea had ukajua na kuandika hapa jf uwingi wa walimu nchini ndio sababu ya yote haya kupewa kila lawamaSio kweli....!Walimu wapo waliofaulu nenda DUCE utawakuta....
Kuna Walimu wanalipwa hela nyingi kuliko unavyodhania
Nilichosoma kupitia wewe ni kuwa una chuki na Walimu....kuna kitu umekijenga akilini mwako dhidi ya walimu
Unafiki,shobo,kujipendekeza na kutengana,kugombana wao kwa wao,na kila mtu kujijua yeye na tumbo lake ndo tatizo linalowakabili....
Ile kaulimbiu yao ya sijui solidarity sijui nn uko mbele Kama wangeliifanya kwa vitendo wangefika mbali....
Ongea ukweli, najua kama wewe ni mwalimu inakuuma lkn ndio ukweli ingawa ni mchungu. Mind my friend, na si kuwa sector zingine hakuna div 3, 4, au zero, hapana zipo ila zimekuwa scatteed fani mbali mabli. Kwa walimu ni kuwa zimekusanyika nyumba moja na kuwa na tabia moja.Acha dharau wewe one zipo za kutosha kada ya ualimu
wanakwenda kwa merit ya kuwa na diploma ya education ambayo inakubalika. Lkn form 4/6 had poor performanceone ,au mzumbe ,sua ,udsm ,duce ,mkwawa ,sauti,udom inapokea walimu waliofeli ? Nasema acha kukariri
Matusi matusi, nimekugusa mwalimu, kitu kimekuingia, ila sijakutukana. Nimetoa fact and you have to rebuke that fact na si matusi! Mwalimu wa div 3/4! mwisho mwisho! nimekugusaWe ng'ombe
Jeshini inafahamika wazi kuwa ni "mitulinga mingi akili kidogo" hivyo wako sahihi. Jeshini wanakwambia akili acha mlagoni, tunataka nguvu cruta! Lkn kwenye ualimu haipashwi kuwa hivyo. Ndiyo maana University wanaopata GPA 4.8 ndio walikuwa wanabaki kufundisha.. (enzi wa miaka ya 60,70,80..) sijui kwa sasa maana nasikia hata mitihani inauzwa katika Universities......jeshini mnaenda kwa sifa gani?
Aliyejibu pia mpumbavuMaswali ya kipumbavu
Umeniqoute vibaya mkuu....sio mm niliyewadharau Walimu!Ni sahihi lawama kutupiwa mwalimu maana ndie baba na mama wa kila kada ,hata wewe hapa unawadharau walimu ambao ndio wamekulea had ukajua na kuandika hapa jf .uwingi wa walimu nchin ndio sabab ya yote haya kupewa kila lawama
No wonder no body answered the stupid questionAliyejibu pia mpumbavu
Nina point 9 nasoma BEd in sciencesidhani , form gani waliingia nayo pale?
Ni kada ambayo they are highly disciplined ukiachana na wanajeshi ,,kila hoja hujibiwa kwa hoja,, ubovu ni kwamba hao unaowapelekea hoja hiyo hawajali,, usije kuropoka eti hawajiaminNi kutokujiamini tu,hii ni kada ambayo kama wangejiami ni very potential.
Mioyoni mwao ni kama vile wana hatia,wanaogopa kuiudhi serikali kana kwamba watafukuzwa kazi.