CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

Sasa mbona hiyo kada haibadiliki,hata kudai haki zao hawawezi,wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Kwa hiyo unamaanisha mtu mwenye div 1 ndio mwenye mabadiliko?!!au ndiyo anajitambua?😲😲,ebu ichunguze Dunia,Kuna Elimu zaidi ya hii ya DARASANI/SHULENI.
 
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......


5 Nitaongezea baadaye
Mkuu wewe kufaulu unaona lazima iwe daraja la 1 tu?
 
Idara gani nchi hii iliwahi kudai na kupata hizo haki? Kama una akili timamu Rais Mwinyi alienda kuangalia mpira wakati madaktari Mhimbili wamegoma. Na hata baada ya hapo kilichoendelea unakijua?
Walimu ndio wafanyakazi wengi kuliko idara nyingine ya serikali ikifuatiwa na sector ya wakiamua kugoma impact yake itatikisa.
Bahati mbaya ni idara yenye watu waoga kuliko idara nyingine,kuna MTU mmoja humu ndani amesema walimu hiyo kazi wanaona ni kama favor wamepewa hawakustahili.
 
Mimi kitendo cha kugomea bodi ya taalum nimewashangaa kweli, yaani wanataka mwalimu asisajiliwe kwa vigezo vya ualimu bali kila mtu ajiite mwalimu. (aliyefaulu ualimu na aliyefeli kwenye chip cha ualimu)
Nimeushangaa sana guy uongozi uliopo.
 
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......


5 Nitaongezea baadaye
Labda walimu wa grade A walimu wa primary hao naweza kukubalina na wewe ila sio walimu wa sekondary ,

Mwalimu wa sekondary jua kabisa alipasua form four na advance level vile vile .
Acha kukalili kuwa kila mwalimu kafeli ,kuna vipanga kibao sana wapo kada ya ualimu yaan olevel kapasua one na advance kapasua one ,au mzumbe ,sua ,udsm ,duce ,mkwawa ,sauti,udom inapokea walimu waliofeli ? Nasema acha kukariri
 
Sio kweli....!Walimu wapo waliofaulu nenda DUCE utawakuta....

Kuna Walimu wanalipwa hela nyingi kuliko unavyodhania

Nilichosoma kupitia wewe ni kuwa una chuki na Walimu....kuna kitu umekijenga akilini mwako dhidi ya walimu
Unafiki,shobo,kujipendekeza na kutengana,kugombana wao kwa wao,na kila mtu kujijua yeye na tumbo lake ndo tatizo linalowakabili....

Ile kaulimbiu yao ya sijui solidarity sijui nn uko mbele Kama wangeliifanya kwa vitendo wangefika mbali....
Ni sahihi lawama kutupiwa mwalimu maana ndie baba na mama wa kila kada ,hata wewe hapa unawadharau walimu ambao ndio wamekulea had ukajua na kuandika hapa jf uwingi wa walimu nchini ndio sababu ya yote haya kupewa kila lawama
 
Alafu Kuna wajinga wengi wanadai walimu hawawez kutetea maslah yao kisa hawana div 1 Kama kada zingine [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa swal langu dogo naomba nijibiwe kwa kupewa mifano ,je Ni kada ipi ambayo inajielewa na ikatetea maslah yao na maslahi yao yakapatikana kuanzia 2015-2020 maana isiwe mnarusha tu lawama kwa walimu wakat kila sekta uoga Ni ule ule .tafadhar nipen jina la sekta ambao sio waoga
 
Acha dharau wewe one zipo za kutosha kada ya ualimu
Ongea ukweli, najua kama wewe ni mwalimu inakuuma lkn ndio ukweli ingawa ni mchungu. Mind my friend, na si kuwa sector zingine hakuna div 3, 4, au zero, hapana zipo ila zimekuwa scatteed fani mbali mabli. Kwa walimu ni kuwa zimekusanyika nyumba moja na kuwa na tabia moja.
 
one ,au mzumbe ,sua ,udsm ,duce ,mkwawa ,sauti,udom inapokea walimu waliofeli ? Nasema acha kukariri
wanakwenda kwa merit ya kuwa na diploma ya education ambayo inakubalika. Lkn form 4/6 had poor performance
 
We ng'ombe
Matusi matusi, nimekugusa mwalimu, kitu kimekuingia, ila sijakutukana. Nimetoa fact and you have to rebuke that fact na si matusi! Mwalimu wa div 3/4! mwisho mwisho! nimekugusa
 
jeshini mnaenda kwa sifa gani?
Jeshini inafahamika wazi kuwa ni "mitulinga mingi akili kidogo" hivyo wako sahihi. Jeshini wanakwambia akili acha mlagoni, tunataka nguvu cruta! Lkn kwenye ualimu haipashwi kuwa hivyo. Ndiyo maana University wanaopata GPA 4.8 ndio walikuwa wanabaki kufundisha.. (enzi wa miaka ya 60,70,80..) sijui kwa sasa maana nasikia hata mitihani inauzwa katika Universities......
 
Ni sahihi lawama kutupiwa mwalimu maana ndie baba na mama wa kila kada ,hata wewe hapa unawadharau walimu ambao ndio wamekulea had ukajua na kuandika hapa jf .uwingi wa walimu nchin ndio sabab ya yote haya kupewa kila lawama
Umeniqoute vibaya mkuu....sio mm niliyewadharau Walimu!
 
Ni kutokujiamini tu,hii ni kada ambayo kama wangejiami ni very potential.
Mioyoni mwao ni kama vile wana hatia,wanaogopa kuiudhi serikali kana kwamba watafukuzwa kazi.
Ni kada ambayo they are highly disciplined ukiachana na wanajeshi ,,kila hoja hujibiwa kwa hoja,, ubovu ni kwamba hao unaowapelekea hoja hiyo hawajali,, usije kuropoka eti hawajiamin
 
Back
Top Bottom