I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye