Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

hili ndo tatizo la Bavicha,ni mentally blind.

Hawafikirii beyond the scope,
Ngoja niwakumbushe jambo
Mwishoni mwa mwaka Jana Kuna jamaa/mzee mmoja wa chadema wa kule moshi alikuja na video clip zake kwenye mitandao ya kijamii akimpinga kwa kumtukana na kumkashika Rais wa JMT Mh Magufuli.

Alitukana na kukashifu Sana, lkn hukusikia mtu yeyote akisema jeshi la polisi limchukulie hatua yule jamaa. Humu JF sasa, jamaa alionekana ni shujaa hasa na alipewa sifa zote. Leo Musiba kutoa maoni yake tu imekuwa ni shida.

Sasa si mnataka kujua Musiba katumwa na nani, Basi tuambieni kwanza yule jamaa alitumwa na nani.
 
Wakat mwingne hatumwi na mtu ila ni njaa zake tu. Njaa mbaya sana.
 

Asante ndugu kwa uelewa uliotukukuka, wengine ni wafuata vibendera tu.
 
Serikali msisubiri kinuke, ndio mtumie nguvu kubwa
Fanyeni kama anavyofanya Nkurunziza kila anaye amasisha ama vurugu au anayepandikiza chuki baina ya mtanzania na mtanzania mwingine dawa ni paah , kimya kimya ndivyo anavyofanya Nkurunzinza kule Burundi na hivi sasa Burundi ipo salama fagia wajinga wote ili nchi ibaki salama.
 
Huoni kama wewe ndo unachochea mauaji????

Yakianza kutokea hayo, hakuna atakayekua salama. Hata wewe unayedhani uko salama, hutaiona salama yako
 
Halafu mkuu ujue wewe unauwezo mkubwa wa kujilinda, waweza kufuatwa na wasiojulikana wasiokuone wakutane na kisiki tu au nguzo ya umeme,

Wengine hatuna
Tadhali sana
[emoji15] [emoji15] [emoji5] [emoji5] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Angefanya hivyo diwani wa chadema ungesikia amekamatwa kwa uchochezi!..
 
ebu tupia link ya uzi ulio msema au paste hizo info hapa tena tuzisome
Huyu alishanyamzishwa siku nyingi baada ya kugundulika hata hilo jina Musiba si la kwake, huyu alufukuzwa shule huko mbeya yeye na Bashite hawana tofauti walisomea majina ya watu. aliufyata baada ya watu kumtolea data zake hume JF
 
Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Ndio maana ukaja na zile propaganda za maiti zinatolewa hospitali? Jinga wewe!! Mmesikia US na Nchi wahisani wanakuja na kibano Mambo yanagonga pichu!! Mtatafutana si mlikuwa wapiga makofi na vigelegele!! Uzi wako wameutoa kule urudishe.
 
Dah dah dah huyu jamaa ndio mkata watu mapanga dah yani haya ndizo fikra za ccm dah tunakwenda pabaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…