born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
hili ndo tatizo la Bavicha,ni mentally blind.
Hawafikirii beyond the scope,
Ngoja niwakumbushe jambo
Mwishoni mwa mwaka Jana Kuna jamaa/mzee mmoja wa chadema wa kule moshi alikuja na video clip zake kwenye mitandao ya kijamii akimpinga kwa kumtukana na kumkashika Rais wa JMT Mh Magufuli.
Alitukana na kukashifu Sana, lkn hukusikia mtu yeyote akisema jeshi la polisi limchukulie hatua yule jamaa. Humu JF sasa, jamaa alionekana ni shujaa hasa na alipewa sifa zote. Leo Musiba kutoa maoni yake tu imekuwa ni shida.
Sasa si mnataka kujua Musiba katumwa na nani, Basi tuambieni kwanza yule jamaa alitumwa na nani.