MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Wee kichwa chako kila siku nasema ni boflo kabisa, unategemea Nchi iendelee kwa kupata misaada..??Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
Kweli Moderator mwaka huu umeniamulia Musiba kaweka orodha yake mimi nimeweka yangu mmeziunganisha duu.... Shikamoo moderatorHebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania.
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu.
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina. Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Marekani hawezi kujipu uharo. Serikali hujibu tuhuma kutoka serikali nyingine, sio kutoka kwa wahuni. Musiba ni nani hata Marekani wamjibu?Kwakweli nimejisikia aibu sana kwa hilo hasa km hizi video zitarushwa mpk huko USA, watatuona we Tanzanians hatuko serious watatudharau !kuituhumu FBI inataka kuingilia Usalama wa nchi fulani ni sawa na kusema Polisi ya Tanzania wanaingilia usalama let say wa kenya ? Kwa kweli ametuaibisha kushindwa kujua Shirika la ujasusi la USA ni CIA ameondoa uzito kabisa wa taarifa yake hata km ilikuwa na Mantiki!nafikiri hata hao American hawatajisumbua ku respond kwa hii allegations maana amechemka haswa, mimi sishabikii siasa lkn kwa hili nimesikitishwa sana sipati picha Trump atakavyoendelea kutudharau Africans.
Napendekeza kabla mtu hajafanya Press conference yenye Mlengo wa kimataifa kuwepo na mamlaka itakayo pitia taarifa zake kabla.
Blackmail za Makonda, wamemtuma afanye makusudi wakijua chadema watakuja juu kisha wapate sababu ya kuwabambikia kesi, njama zimesukwa na Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na Makonda.
Siku zote alikuwa wapi mpaka aliposikia Mange anahamasisha Maandamano?FBI, CIA ndo wale wale.
Watz bwana. Kuibiwa na kuhujumiwa hamtaki. Kupewa Habari kuwa kuna watu wanapanga au wanawaibia au wanawahujumu pia hampendi. Loh,
Anatumwa na TANESCOUnapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
View attachment 701577
Mkuu acha ujinga hakuna anayependa hicho ila bado hatujafikia huko
Misaada INA umuhimu sana kwa afrika kwa kuwa bado hatujajiweza
Jamaa alipotaja FBI tu nikajua kuna tatizo mahali...kama hajui jurisdiction ya CIA na FBI then tumsamehe tu. Ubongo kila mtu anao ila tunautumia kwa njia tofauti.
Yajayo hayafurahishi by Mshana jrIla tukumbuke anasema kwa niaba ya Serikali Mkuu..
Hawezi kubweka hivi hivi kama haja tumwa ujue ..Ni lazima kuna kitu nyuma ya hili ..
Yajayo hayafurahishi by Mshana jr