Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Watanzania wa Leo siyo wa mwaka 47 Time Will tell
 
MUSIBA ANA KESI YA KUJIBU JUU YA TUHUMA HIZO DHIDI YA FBI.NADHANI AKILALA NDIO ATAONA UZITO WA UPUMBAVU ALIOUFANYA KWA KUTAFUTA CHEO.
 
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuituhumu FBI kuwa ni majasusi????
 
Wewe ulitegemea mtu mwenye akili yake na elimu yake aje kuongea madudu haya
 
MUSIBA ANA KESI YA KUJIBU JUU YA TUHUMA HIZO DHIDI YA FBI.NADHANI AKILALA NDIO ATAONA UZITO WA UPUMBAVU ALIOUFANYA KWA KUTAFUTA CHEO.

BAHATI MBAYA USHAHIDI UMESHAFIKA MAREKANI NADHANI UNASUBIRIWA MUDA TU.KIHERHERE KIBAYA SANA.
 

NADHANI ATAITWA ATHIBITISHE TUHUMA HIZO DHIDI YA MAREKANI NA UJERUMANI.
 
Kila mkosoaji wa Chadema lazima muulizie wasifu wake..
mtaulizia wananchi wa nchi nzima sasa mkidhani wanatumiwa na CCM
Hata jeahi la polisi wakati wa uchunguzi lazima likujue kwanza wewe ni nni, kuna ughusiano mkubwa kati ya wasifu wako na mienendo yako. Kwa Musiba i.eshafahamika ni wale wale wa Elimu za kuunga unga na kuficha maovu yao( vyeti feki). Na ni watu wa kujipendekeza. Ucgunguzi wetu kuhusu wasifu wake umetupa majibu kwa nini anawaza hivyo anavyofanya.
Hat hivyo kwa ni i musiba hachukuliwa hatua kwa tabia zake za kichochezi kati ya serikali na wananchi wema? Kwa nini anasababisha taharuki miongoni mwa watanzania kwa kusema.baadhi ya rais wake ni hatari kwa usalama wa taifa? Huyu anastahili kupelekwa mahakamani akathibitishe madai yake.

Ni ukweli usiopingima watu wenye elimu za kuunga unga ni bira darasa la saba aliyeridhika na kiwango chake cha elimu akaamua kutumia kipawa kinngine cha kuzaliwa kuendesha maisha yake.

List hii hapa.

Rais
Mkuu wa mkoa
Msiba
Makamba et al.
 
Huu ujinga yafaa chadema waukatae mapema kwani ni mbinu ya CCM kuwatumia wahuni wa mitaani wajinga wajinga kuwachokonoa chadema kisha CCM wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi Wapinzani, hii mbinu ni ya kishamba na yaafaa watambue kuwa watanzania wa sasa si wajinga kiasi hicho na hawezi kukaa wakayaamini maneno ya Msiba msaka nyoka, kila mmoja anajua kuwa Makonda na Rais hawataki kisikia upinzani Tanzania, wanakuja na mbinu nyingi za kudhoofisha upinzani ni vyema wananchi wajiandae kisakolojia kuwakabili kwa nguvu nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…