Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are not serious! Hivi kila mtu anaweza kuitisha press bila kibali na akaongea lolote bila kuwa na proof na bado dola ikamwacha tu aende zake kwa mkewe?Ameitisha press conference na kutaka vikosi vya usalama viwashughulikie bila huruma Mange Lissu,Mbowe,Maria Sarungi,Zitto na wengine WANNE kwa madai ya kuhatarisha usalama wa nchi na kutumiwa na CIA na FBI
Hana kazi anatafuta huruma ya Magu na Bashite
Anaweza akawa na wazo zuri nyuma ya pazia ila akawa na poor presentation kutokana na wrong perception ya baadhi ya aliowataja. Pia, kwa kuanika hivi,ndo kaharibu kama ile issue ya madawa ya kulevya. Hii ni issue nyeti na sio ya kuropoka ovyoovyo tuu.Mkuu hapo #1 tangu lini FBI wakawa shirika la kijasusi? Hii inakupa quality ya uzi mzima kuwa bwana Musiba ni Jogoo toka mashambani kuwika mjini ni kwa nadra sana.