Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?


Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???

Mkuu taarifa haina mashiko kabisa ..... hebu ifanye iwe habari kamili

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ana akili za kibashite bashite..hivyo alomtuma ni bashite ..zero brain
 
About Mange Musiba yuko sahihi. Ningeandika in deep about this, ila ngoja nipige kimya. Wenye akili muwe makini na upuuzi wake! Usiponielewa pita kimya!
Nenda kapakatwe huko,wakiitwa wenye akili na ww unajitokeza kbs,huyo Mange unaemsema hebu jitahidini kuheshimu democray muone kama atakuwa anaropoka
 
Musiba sio msemaji wa serikali. Yeye ametoa hisia zake. Kitendo hiki kinakubalika kabisa na hizo nchi ulizozitaja za Marekani, Ujerumani, na ulaya yote. Kinaitwa FREE SPEACH.

Kwa hiyo ni sawa kwa Lissu au Mdee kuitukana serikali na Rais lakini Musiba hawezi kuishutumu Marekani?

Umekwisha wasikia Wamarekani wenyewe wanavyokashifu na kutukana Rais wao na nchi yao?

Usiwe unazungumza vitu usivyovijua.
Naona umeamua ndugu msiba bado unakosea tu????free speach ndo nini?Ujinga wa kijipendekeza na umasikini ni dhambi kubwa zinazolitafuna taifa kwenye awamu hii ya chattle.Alaaniwe aliyemsukumiza mtu huyu
 
musiba-624x400.jpg


HUYU ALIKUWA MGANGA NJAA KWENYE MAREDIO SASA NAONA ANATAFUTA KIKI NA BABA ALIVYO ANAPENDA MAJAMAA WA AINA HII ANA WEZA KUPATA VITI MAALUMU😀😀😀😀
 
YEYOTE ALIYETOA AMRI, PAMOJA NA YULE ALIYENYOOSHA GOBOLE NA KUMWAHA DAMU YA AQUILINA, HAWA NI SUMU KULIKO ILIVYO SUMU YA CHATU
 
Siku hizi green guards, kikosi kazi cha TANESCO, kikozi kazi cha TAKUKURU, kikosi kazi cha TANAPA etc etc navyo vina mamlaka ya ''kuteka, kutesa, kuhoji'' na baada ya siku kadhaa kukukabidhi polisi. Hatari sana hii hali.
 
Wakati Mwingine serikali inachafuliwa na watu kama hawa. wajinga wajinga wanawaita waandishi wa habari na kusema uongo. uzushi kwa sababu rahisi rahisi.

hicho alichokisema kwa hao watu ni kuwataja kama wahaini au watu wanaotaka kiipindua serikali na kuleta machafuko.

CCM wasipo angalia na kupima akili za makada wao kwa sasa kutatokea wimbi kubwa la waliopo CCM wenye mtindio wa Ubongo CCMuisius ambao wamebanwa kiasi kwamba wanachimndwa watoke na nini kisiasa ambacho kitamgusa Mwenyekiti na kumuona ana maana.

Shime Rais wetu hao ndiyo wachochezi Akamatwe ahojiwe na kujua hizo taarifa kazitoa wapi na zina ukweli gani kama sio basi Ashitakiwe kama watu wengine kwa Kosa la Uchochezi.
 
Wazee wa kupinga kila kitu ...(nimeptea jukwaa...) #sipendisiasa#
 
MANGE ana jicho zuri kweli aka la "mahaba" kwenye kuutafuna mua hilo jicho ndio linaongeza mahaba. Hivi hapo USA anapatikana pande zipi huyu mdada maana hii March naona mtemba utadock Oakland hapo...

Tukirudi kwenye topic, Watanzania tatizo kubwa Tanzania ni CCM na CCM ndio chanzo cha sarakasi zote hizo.
Uwekezaji mkubwa uliofanywa na unaofanywa kwa nguvu kwenye ujinga na CCM unaleta shida kila mahala Tanzania.
Ukiikataa CCM utakuwa umeukataa ujinga na kuiepusha Tanzania na ujinga..
 
Naona umeamua ndugu msiba bado unakosea tu????free speach ndo nini?Ujinga wa kijipendekeza na umasikini ni dhambi kubwa zinazolitafuna taifa kwenye awamu hii ya chattle.Alaaniwe aliyemsukumiza mtu huyu
Siwezi kujadili jambo na mtu asietoa hoja bali kejeli tu. You are pathetic.

Sasa hivi hapa ninajiuliza kwa nini ninakupatiliza mtu kama wewe. Lakini nitakuganda tu mpaka kieleweke. I feel like being charitable today.

Hii ndio sababu kubwa inayoviangusha vyama vya upinzani kama CDM.
 
Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania.

Mini naona tuanzie na maana ya neno UPINZANI.....hivi maana yake ni hali ya kukubaliana na kila jambo kama lilivyo?
 
Dunia ya saiz co ya makanyaboya makanyaboya kwamba tupelekane pelekane tuu.....
 
Bila shaka anautaka U-DC. Maana sidhani kama gazeti lake linauzika sana. Ila sio kwa jinsi hii jamani.
 
Back
Top Bottom