Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???

View attachment 701577

Nafikiri ni wakati wa kutilia maanani hizo tuhuma,kwani ni mbinu na biashara ya wakoloni mambo leo kudhoofisha nchi nyingine kwa kutumia watu wenyewe wa nchi hizo. HOJA ZIJIBIWE KWA HOJA tusitoe mashambulizi binafsi. Wahenga walisema " lisemwalo lipo kama halipo basi laja" tukumbuke" Ignore the messenger but receive the message"

Mhe Zito anataka kutuaminisha kuwa mtoto wa waziri wa ulinzi hawezi Kufanya makosa ?, ni hoja duni sana .kwani nafikiri kuwa kama motto wa kiongozi hafanyi makosa ,kiongozi mwenyewe anafanya ? Anataka kutuaminisha nini? Anajijengea ukuta kuwa kuna watu Fulani hawakosei, kwanini?

Mfano,

Kipindi cha uchaguzi mkuu 2015 kuna mtia nia mmoja wa uraisi wa chama Fulani alinuuliwa akisema…Yeye anafaa kuwa raisi wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu WAMAREKANI WANAMTAKA YEYE” na huyo alikuwa ni Waziri.
 
Kaeni hivyo hivyo na uelewa duni juu ya ushenzi ufanywao na mataifa makubwa kupitia mashirika yao ya kijajusi na majeshi yao.

Lisemwalo na musiba linawezekana kabisa. Watu wanatoa povu kupinga kishabiki.
 
WANTED! Hasa hao walioko ughaibuni! Ndo wa kutaftia dawa!
Makosa mfanye wenyewe msingizie wengine. Hao ulio wataja ndio walimuua A. Mawazo ndio walompoteza Ben Saanane ndio walimteka Roma mkatoliki ndio walimuua katibu wa CDM kata ya Ananasifu ndio wamemuua diwani wetu Morogoro ndio walimteka mgombea udiwani wa CDM Muleba.? Kwa mwenye akili atajua huyu msiba ni punguani.
 
Huyu ni nani huwa ??
Mamlaka ya kusema hawa ni hatari na wengine ni sio hatari kayatoa wapi ?
Ifike mahali sasa huyu achukuliwe hatua stahiki na hao anao wachafua .
Walisha mhakikishia usalama. Kama akina Molleli na Mtulia. Ukimpeleka mahakamani kesi itakuwa haiishi mpaka uchwara anaondoka.
 
Na mtakoma safari hii. Hampati mbunge wala diwani hata mmoja ifikapo 2020.

Endeleeni kujifariji tu kwa mitusi mitandaoni.

Mimi nimevaa suti ya TEFLON. Chochote unachonitupia kinateleza tu na kuangukia chini.

Bring it on Sis!
Sawa dada tumekuelewa viti vyote ni vyenu,waambie na mabasha zako tumekubaliiiii
 
Siwezi kujadili jambo na mtu asietoa hoja bali kejeli tu. You are pathetic.

Sasa hivi hapa ninajiuliza kwa nini ninakupatiliza mtu kama wewe. Lakini nitakuganda tu mpaka kieleweke. I feel like being charitable today.

Hii ndio sababu kubwa inayoviangusha vyama vya upinzani kama CDM.
I don't see an argument herein, you are just manipulating your foolishness.You and so called Msiba are foolish
 
Hana tusimpuze huyu mtu akakua katumwa tu mpaka saiz hajakamtwa na wala haja hojewa
 
Kaeni hivyo hivyo na uelewa duni juu ya ushenzi ufanywao na mataifa makubwa kupitia mashirika yao ya kijajusi na majeshi yao.

Lisemwalo na musiba linawezekana kabisa. Watu wanatoa povu kupinga kishabiki.
Unajua tunashindwa kuelewa kitu kimoja hapa alichoongea kinaweza kuwa sahihi kiasi flani lakini ametumia wrong approach ni sawa na njia aliyotumia makonda kwenye madawa ya kulevya na ile iliyotumiwa na selikari kwenye madini njia mfu.

Kwanza ametaja taasisi ambayo si ya ujasusi FBI sio shirika la kijasusi ni shirika la upelelezi ndani ya marekani kitu kingine ametaja hadharani Je iyo taasisi itakapo mtaka yeye au selikari kuthibitisha juu ya uhusika wao anaweza?

Taarifa yake ingelisaidi taifa kama angekuja na ushahidi angalau kama ule wa Nasari ili kusiwe na doubt au angepeleka kwenye vyombo husika.

Hapa ameliweka taifa kwenye mtego cha kushangaza kuna wajinga wanaona yuko sawa.
 
Mkimjadili saana, atajiona wa maana huku ni bogus. Hajui hata FBI ni nini na functions zake.

Watu sampuli hii ni wa kupuuzwa tu kwa sababu hawana maana kabisa na kama kuna anayemtuma basi wanafanana wote.
Wajinga Tz bado wengi.
 
Hii takataka imetokea wap tena mungu wangu eeeeeeeeeeee mbn ktk ili taifa letu hakuna majina km hayo. Musiba ndo tapishi gan kwan yy ndo nan mpk kutamka ayo........... Rubish

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Huyu fala kazi yake ni ndogo. Afunguliwe mashitak adhibitishe alichokisema. Tena anaingiza nchi ktk mgogolo ya kidiplomasia kwa kuitaja FBI ya US na chama tawala cha Ujerumani. Akamatwe mara moja pia upimwe akili. Hauwez kuutafuta uteuzi wa U-DC kwa kauli za kijinga na kufikilika. Mweny CV yake pia tunaomba.sio mzima huyu
 
Unajua tunashindwa kuelewa kitu kimoja hapa alichoongea kinaweza kuwa sahihi kiasi flani lakini ametumia wrong approach ni sawa na njia aliyotumia makonda kwenye madawa ya kulevya na ile iliyotumiwa na selikari kwenye madini njia mfu.

Kwanza ametaja taasisi ambayo si ya ujasusi FBI sio shirika la kijasusi ni shirika la upelelezi ndani ya marekani kitu kingine ametaja hadharani Je iyo taasisi itakapo mtaka yeye au selikari kuthibitisha juu ya uhusika wao anaweza?

Taarifa yake ingelisaidi taifa kama angekuja na ushahidi angalau kama ule wa Nasari ili kusiwe na doubt au angepeleka kwenye vyombo husika.

Hapa ameliweka taifa kwenye mtego cha kushangaza kuna wajinga wanaona yuko sawa.

FBI, CIA ndo wale wale.

Watz bwana. Kuibiwa na kuhujumiwa hamtaki. Kupewa Habari kuwa kuna watu wanapanga au wanawaibia au wanawahujumu pia hampendi. Loh,
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???

View attachment 701577

Naona kwenye gazeti hapo kuna mtu katajwa anaitwa "jamii forums" Picha yake ipo chini upande wa kulia.
 
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???

Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???

Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?

Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???

View attachment 701577

Hilo Gazete analimiliki yeye? alitaka kuuza gazeti huoni habari imechukua ukurasa mzima wa gazeti lake.
Leo mauzo yataongezeka kidogo

Awamu hii kuna watu watatembea hata uchi ilimradi wapate viji senti. hali ni mbaya sana mifukoni mwa watu.
 
Back
Top Bottom